Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
ukuu wa Mungu na science pekee ndo inajibu why the water don’t drop here
Ukimsikiliza huyu jombi na sceptics wengine 👍👍
ukuu wa Mungu na science pekee ndo inajibu why the water don’t drop here
ukuu wa Mungu na science pekee ndo inajibu why the water don’t drop here
Naona kahawa kutoka kwenye udongo wa volcano zimetia fora.
Wewe fala ngoja nikusaidie ,,Mbeya-Chnya-Makongolosi-Rungwa..Hapo Rungwa ni junction ya kwenda ipole-Sikonge hadi Tabora.Pia from Rungwa unaenda Itigi hadi SingidaMzee ficha utoto na ujinga wako.
Nimekuuliza Itigi na Sikonge unazijua au unatoa upumbavu tu hapa!?
Mzee nimeanza kuizungukia Tanzania sasa ni mwaka 30.
Kona zote za Tanzania nazijua Mzee.
Itigi ipo Singida na Sikonge ipo Tabora. Hazina uhusiano wowote.
Taga linajifariji,safari hii kujipendekeza na mapambio hakuna tafuta Kazi ya kufanya la sivyo ksingie na wewe kwenye kaburi tuwafukie maana mlitutia hasara Sana nyie dogsWenye akili fupi kama wewe wanasema walimuona anawekwa kaburini. Lakini amini amini nakuambia JPM hatakufa kamwe.
Tutaimaliza 2035 hatuna ujinga wa kutupa pesa za walipakodi kwenye miradi tembo mweupe.He was a visionary, alijua akiiacha Makutupora watu wataifanya a rail to know where so akaamua aianzie Mwanza ili watu waone aibu wamalizie kipande Cha kati...He was ahead of his time..
Ana wenge huyo washakata ulaji wao kupitia Kakoko,Mwakabibi na takataka zingineHatakufa???
Acha bange unazotumia wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Changamoto inaanzia kwenye tofauti zetu za kufikiri. Wenye kufikiri kwa kawaida wanaona alishakufa. Wenye kufikiri kwa kawaida, lakini ngazi ya juu chini wanaona atakufa tu. Wenye uwezo wa juu wa kufikiri kila siku wanamuona na kumsikia. Na wengi tu wa kizazi cha sasa na kijacho, wameapa kumfuata popote atakapokwenda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]Mfateni huko hell basi mkamsaidie kumchochea kuni aungue vizuri.
Ukisema Lusitu hueleweki sema Mkoa wa Njombe wilaya ya Ludewa
Usiwe kubwa jinga wewe,huyo mwalimu wenu hajui hata CBR ni kitu gani kwenye barabara.Mwenye ma barabara yake ndo keshatutoka...for almost 20yrs alikua ana simamia haya ma barabara kwa mahaba makubwa...sijui nani tena ataibuka akaipenda kazi ya haya ma miundombinu km mwendazake..
Kazi nzuri ya biashara ya miti na parachichi japo mwendazake aliifix Sana biashara yetu bora kaondoka tupumueHuyu jamaa ni visionary. Kutoka kumiliki mabasi ya Dar - Njombe mpaka kuyatengeneza.
Acha uongo wewe huna hata niche kumi unaropoka.Wakenya hawatakaa waamini tulivyowapindulia meza kwenye horticulture industry. Kwenye parachi tumewafanyia mchezo hawaamini wanachoona. Wanaona vumbi tu. Nikiangaliaga vitalu vya parachichi vilivyo vingi huwaga naimagine prodn itakuwaje in five years.
Hiyo miradi tembo mweupe itamaliziwa kwa pesa zipi wakati pesa zote zilikuwa ni mikopoHuu ni muda mbaya sana kukopa mimi sio Economist ila ninaweza kukuhakikishia hilo! Hatuhitaji kukopa bali tumalizie miradi tuliyonayo ambayo mikopo yake iliombwa kabla ya corona! After corona then we can think of taking credit! Nina uhakika mama Samia anaambiwa hilo saahii Dodoma mkutano wa NEC! BTW debt to GDP ratio ya Kenya ipo juu ya 90% ! Ubaya zaidi wa unacho-suggest ni kukopa kwa kujilinganisha ati kwa vile majirani wamekopa zaid wana debt to GDP ratio kubwa zaidi. Sorry, I find ur thinking on this is too shallow!
Usipende kusingizia watumishi kama baba yako marehemu wakati wezi ni wao na genge lao.Kukopa ni muhimu mno. Lakini tatizo, wapo watumishi wanaweza kutumia vibaya mikopo hiyo. Vilevile masharti ya mikopo yanatakiwa kuangalia.
Wewe kilaza bado uka na tabia ya kulazimisha Kenye hakipo kionekane ni Kama kipo hata Kama facts are screaming otherwise 😂😂😂😂, uko na ugonjwa wa paranoia-schizophrenia😂😂, unataka Mwanza iwe level ya Mombasa😂😂😂😂, sasa unajaribu kukweza takataka ya ubungo ionekane iko sawa na inaweza kusimama mbele ya Pokuase😂😂😂😂 idiot wewe😂😂 you can't mention ubungo in the same sentence na pokuase, hilo ni tusi na dharau., Ubungo a simple Criss cross yenye a certificate holder wa technical institute anaweza chora na kujenga ni ya kupigia kifua😂😂😂😂 Tafuta video ya Afrikan Traveller YouTube uone muonekano wa pokuase in April 2021 na other interchanges in Accra Ghana, hamna lolote nyie😂😂😂, (video clips ndio huwaumbua humu, ni kiswahili mtaandika) nipe Insha ama sema ni "upupu" ama useme nime "panick" your usual cliche' na haujui maana😂😂😂😂😂, akili zako fupi Kaka braza😂😂😂Kuna kitu bro naona hujakielewa kwa design nayoona hio ya ghana ina support two lanes wakat ubungo ina BRT system ndani yake na ukumbuke kuna BRT ways second and third level hilo moja na pia naona quality ya ubungo iko sawa sana
Hii ni interchange ya ghana👇👇👇
View attachment 1766899