Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nijue unakotoka itaniongezea ugali au? Unaweza kuwa hutoki huko ila una mtindio wa ubongo kama hao waume zako
Wewe ndio mwenye utindio wa ubongo kufikiri legacy ya JPM itauliwa na mtu aliejitanabaisha yeye na JPM ni pipa na mfuniko 🤣🤣🤣

JPM got some several decades to rule your minds off
 
Yaani hata hueleweki msimamo wako kwenye biashara ni upi?

Unataka biashara huria au maximum controlled business?

Unalalamika facts za uongo kwamba aliwaongezea kodi ya mbao na kuwazuia wakenya (sio huria)

Hapohapo unalalama kwanini kawaachia wachina (huria), hivi huwa unajisikiliza?

Punguza chuki na uchungu, your the notorious sadist ever encountered with!
Ndi kwani wachina si ndio waume zenu maccm,kwani hujui alikuwa na chuki binafsi na Kenya? ishu ya vifaranga,kufunga mipaka,kuretaliate hata kwenye ukweli,kuteka ngombe,kunyima vibali vya kazi nk nk ..Na akawazuia kwenye maparachichi yetu.

wewe siku zote mimi ni muumini wa sera ya biashara huru na demokrasia ,uchumi wa dizaini ya JK.
 
JK keshastaafu mfate msoga akutawale Wewe na biashara zako, serikali iliyopo yote ni ya awamu ya 5 ya hapa kazi tu 🤣🤣🤣
 
JK keshastaafu mfate msoga akutawale Wewe na biashara zako, serikali iliyopo yote ni ya awamu ya 5 ya hapa kazi tu 🤣🤣🤣
Ushauri ndio unasomeka kwa sasa haihitaji kumfuata kote huko wewe soma alama za nyakati tuu utajua hujui.Bagamoyo port and SEZ is loading
 
Ushauri ndio unasomeka kwa sasa haihitaji kumfuata kote huko wewe soma alama za nyakati tuu utajua hujui.Bagamoyo port and SEZ is loading
Masharti yakizingatiwa hata Mimi naukubali tena sana

Magufuli alisema ni mwendawazimu tu atakubali mkataba kama huu na sio mradi kama huu

Ninyi zero brains aka wakina chief mangungo ndio mliolifikisha hili taifa mahali JPM alikolipokea
 
Ujenzi umepungua?

Unaweza kuleta statistical approach illustrating idadi ya projects kabla na baada ya JPM

Tatizo lako unajadili kwa chuki mno badala ya uhalisia na facts na unashangaza mno utimamu wa akili yako kwa namna unavyoteseka na mtu ambae haexist
Huyo ajielewi.

Sisi tulioko kwenye sekta za ujenzi tunamshangaa akiandika eti ujenzi umepungua [emoji23][emoji23][emoji23]
 
N
Hizi ndio interchange sio zile takataka kama za ubungo sijui kijazi na zingine za huko Nairobi.Hongera sana Ghanians.Next time mataga wanapojipiga kifua wawe wanatuonesha vitu kama hivyo.Huko Ghana sio tuu mambo makali yapo mji mkuu Accra bali across their country

Sasa jitu limekulia kwenye michembe na kuona mavi ya ngombe miaka yake yote linakuja kujigamba sijui intachenji sijui stendi yaani ukiliangalia unalisikitikia tuu.Tunaomba intachenji mshenzi japo moja tuu nje ya Dar
Flyovers nje ya Dar sio kwa sasa, ni ndoto, na huu uchumi wenu hafifu, weak revenue collections, pengine kwa madeni, Ghana wame set standard, but anyway Africa is growing nicely,.
 
N

Flyovers nje ya Dar sio kwa sasa, ni ndoto, na huu uchumi wenu hafifu, weak revenue collections, pengine kwa madeni, Ghana wame set standard, but anyway Africa is growing nicely,.
Speed ya ukuaji hairidhishi...sasa fikiria is mfano kama bado watu wanaishi kwenye vibanda vya nyasi barabara nyingi ni za vumbi,maji safi bado, umeme bado elimu duni bado tunakua kwa spidi gani?Afrika bado tuwasindikizaji
 
Ndi kwani wachina si ndio waume zenu maccm,kwani hujui alikuwa na chuki binafsi na Kenya? ishu ya vifaranga,kufunga mipaka,kuretaliate hata kwenye ukweli,kuteka ngombe,kunyima vibali vya kazi nk nk ..Na akawazuia kwenye maparachichi yetu.

wewe siku zote mimi ni muumini wa sera ya biashara huru na demokrasia ,uchumi wa dizaini ya JK.
Kwani mama Samia ni chadema!!!..Mara umsifu mama samia na serikali yake, hapohapo unaiponda ccm na wachina,mara ufurahie mama samia kupewa uenyekiti wa ccm..!!wakati huyohuyo mama Samia amekwambia anataka wawekezaji,unawezaje kuwakwepa wachina katika uwekezaji..???

Ni kama umechanganyikiwa dogo..
 
. Wakati sie tunafanya miradi mtambuka jirani wanashindana kupiga domo na kupiga. šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Back
Top Bottom