ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Nyinyi tunawajua vzr sana ndio maana hatupati tabu na nyinyi 😄😄Mi niko Netflix bado, dadeki! 🤣
Nyinyi tunawajua vzr sana ndio maana hatupati tabu na nyinyi 😄😄Mi niko Netflix bado, dadeki! 🤣
Na bado ndio kwanza kazi imeanza kaeni tayar kuona mengi sana 😅😅😅😅 usisahau pia alishinda big brother south africaTanzaniaonNetflix???😂 😂 😂 Pigeni makofi, Idriss amekuwa m'bongo wa kwanza ku feature kwenye Netflix movie basi! 🤣
Mzee kama alijua atakata moto akaona akamilishe ndoto zake mapemaa kwa kuifikisha reli Mwanza zen hizo lot zingine watajijua wenyewe.Phase 5 SGR mwanza to isaka 341km
Sikiliza hili jinga lenu 🤣🤣👇👇👇 mbona aliomba msamaha mamaeee
Phase 5 SGR mwanza to isaka 341km
Tutafika tu
Yuko hai magu?Mnajaribu kumuua, lakini hamtaweza.
Yuko hai magu?
Mkuu unataka kusemaje hapa?Wenye akili fupi kama wewe wanasema walimuona anawekwa kaburini. Lakini amini amini nakuambia JPM hatakufa kamwe.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Wenye akili fupi kama wewe wanasema walimuona anawekwa kaburini. Lakini amini amini nakuambia JPM hatakufa kamwe.
He was a visionary, alijua akiiacha Makutupora watu wataifanya a rail to know where so akaamua aianzie Mwanza ili watu waone aibu wamalizie kipande Cha kati...He was ahead of his time..Mzee kama alijua atakata moto akaona akamilishe ndoto zake mapemaa kwa kuifikisha reli Mwanza zen hizo lot zingine watajijua wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Frankly speaking the Late Magufuli alikuwa GeniusHe was a visionary, alijua akiiacha Makutupora watu wataifanya a rail to know where so akaamua aianzie Mwanza ili watu waone aibu wamalizie kipande Cha kati...He was ahead of his time..
Mkuu unataka kusemaje hapa?
Mkuu ulikua bado unatumia passport ya zamani...Nimepita 2020 january sasa utaniambia nn wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna kipi utanidanganya wewe barabara mbovu kwanzia mombasa mpaka malindi alaf utaeleza nn hapa wewe hio kilifi makamasi matupu alaf watu wamechoka kwangu pakavu tia mchuzi
View attachment 1765184
Hatakufa???Wenye akili fupi kama wewe wanasema walimuona anawekwa kaburini. Lakini amini amini nakuambia JPM hatakufa kamwe.
ichoboy01 ni mwehu siku zote😅😂😂😂😂 utachoka bure.Kweli wewe akili ya utopolo, Diamond ameingilia wapi, unaandika post zilizotiwa error na wa Nigeria, unasema niza wakenya, ilimradi tu, uanze povu. Nishakunusa kitambo sana. 🤣🤣🤣