Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ubungo interchange ni almost 87 m[emoji121]

Iyo ya Ghana ni 94 m some sources zinasema 84m

Na 4tier interchange with a difference of 7m na yetu ya Ubungo
Mkuu hiyo difference usisahau ni USD wala co shs, pia tusiwe watu wa kutaka kila kinachofanyika nchi nyingine na kwetu kifanyike, cc tuna BRT vp Ghana wanayo? Na km wanayo je inafuata plan ipi mana ishu co kujenga tu, sawa yao ni 4level yetu 3level vp plan yao? Alafu infrastructure zinajengwa kwa bajeti na plan ya eneo husika so tulidhike na hivi vyetu cz hyo interchange yao na hii yetu zote zina save same purpose, usisahau pia hapa Dar kuna flyovers 7 zinatakiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania Jengeni pia nyinyi mkue na mahali pa kusafisha Kama Nairobi[emoji1787]Nairobi Ni Kama Gari mpya imepata Vumbi na mwenyewe Hana shughuli kuosha Yani amezoea magari,si Kama TukTuk/Daresalaam ikichafuka wanaosha Ndio washine kiasi [emoji22]eeeh imenikumbusha kiti nzee yenye mamangu alikuwa akifunikianga na vitamba za viti ili tufiche aibu kwa wageni kitambo sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji1787]
Kwahiyo nyie mmejenga lini na mmejenga nini ili tuamini hiki usemacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo difference usisahau ni USD wala co shs, pia tusiwe watu wa kutaka kila kinachofanyika nchi nyingine na kwetu kifanyike, cc tuna BRT vp Ghana wanayo? Na km wanayo je inafuata plan ipi mana ishu co kujenga tu, sawa yao ni 4level yetu 3level vp plan yao? Alafu infrastructure zinajengwa kwa bajeti na plan ya eneo husika so tulidhike na hivi vyetu cz hyo interchange yao na hii yetu zote zina save same purpose, usisahau pia hapa Dar kuna flyovers 7 zinatakiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kashindwa kutofautisha complexity of drawings ni hicho tu 😃😃😃😃
 
Ulisoma nilichokiandika, hivi wewe unamfahamu mulisaa ama ni ubishi tu ndio unataka..ama unataka niseme labda kachanganya ma file manake mie sijamuuliza yeye lkn jamaa kajibu ndio manake nikakaba..we km una laziada sema bana
Nimfahamu ili iweje? Km ni wewe mwenyewe itanisaidia nn ss, kwn ni ajabu nyie wakunya kumiliki id zaidi ya moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
s

I mean ubungo sio Tazara
Hiyo interchange ya Ghana ina BRT na ina facility ya BRT stations including DART Parking? Pia kuna madaraja mawili upande wa TBS na Riverside? Je Pedestrian overcrossing? Na kama tungeweka interchange ya Ghana how practical would the public transportation be? Will bus stands remain there? Au sie na mabingwa wa kuropoka bila kuangalia realities?
 
Ubungo interchange ni almost 87 m☝

Iyo ya Ghana ni 94 m some sources zinasema 84m

Na 4tier interchange with a difference of 7m na yetu ya Ubungo
Mzee lengo lako ni nini zaidi!?
 
IMG_7088.jpg
 
Mkuu hiyo difference usisahau ni USD wala co shs, pia tusiwe watu wa kutaka kila kinachofanyika nchi nyingine na kwetu kifanyike, cc tuna BRT vp Ghana wanayo? Na km wanayo je inafuata plan ipi mana ishu co kujenga tu, sawa yao ni 4level yetu 3level vp plan yao? Alafu infrastructure zinajengwa kwa bajeti na plan ya eneo husika so tulidhike na hivi vyetu cz hyo interchange yao na hii yetu zote zina save same purpose, usisahau pia hapa Dar kuna flyovers 7 zinatakiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbna nyie mnataka kenya tujenge vitu km vya kwenu, ama ni vile mumeona mumepigwa hku mkisahau hapo nyuma mnatulazimishia tuwe na interchange km hilo lenu...

Ona sasa mlivyoumbuka, yani mumepigea kishenzi, msalaba like interchange yani inafanya kazi km rounda tu walai
 
🤣🤣🤣🤣🤣 kuna harufu ya loan na scandle ndani yake 👇👇

Ya kwetu inayo sasa tena kwenye level mbili tofaut ndio maana nimemwambia yetu iko very complex [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Neno complex unalileta wewe ili uvutie kwako, mwenzako kakwambia yao ni 4 tier..we ulitakiwa ukubali au unataka kusema nguzo za brt lanes ni tofauti na zile zinazopita magari ya kawaida dar
 
Sasa mbna nyie mnataka kenya tujenge vitu km vya kwenu, ama ni vile mumeona mumepigwa hku mkisahau hapo nyuma mnatulazimishia tuwe na interchange km hilo lenu...

Ona sasa mlivyoumbuka, yani mumepigea kishenzi, msalaba like interchange yani inafanya kazi km rounda tu walai
Nioneshe mahali nimeiambia serikali ya Kenya ijenge infra km za Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom