eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,802
- 16,474
Hatakufa???
Acha bange unazotumia wewe.
Changamoto inaanzia kwenye tofauti zetu za kufikiri. Wenye kufikiri kwa kawaida wanaona alishakufa. Wenye kufikiri kwa kawaida, lakini ngazi ya juu chini wanaona atakufa tu. Wenye uwezo wa juu wa kufikiri kila siku wanamuona na kumsikia. Na wengi tu wa kizazi cha sasa na kijacho, wameapa kumfuata popote atakapokwenda.