Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Safi sana, Aisee Kawawa Road ishafumuliwa mpaka Morogoro road pale Magomeni. Lane moja inatumika kwa magari ya pande zote hivyo kama una haraka zako pitia Al Hassan Mwinyi road au Mandela kama unaelekea maeneo ya Goms, Mbagala au Kurasini. Muda si mrefu ikikamilika mtu Mbagala atatransit kwa raja zake kwenda Morocco, Ubungo, Mbezi , Posta , ferry , gerezani Magomeni Bila shidaaaaaa[emoji23].

Itakua bomba aisee mm waswas wangu ni hawa udart tuu wapigwe chini tuu
 
Sio usafi tu pekee bali Dar iko mbele ya Nairobi kwa ss sema tu mmechelewa kuujua ukweli ndio maana mnapata shida kuingiza hii vocabulary mpya kwenye vichwa vyenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini usicheke sana,Hio uchafu nikama Mercedes Benz chafu ukiiosha inarudi mpya,Dar ishaoshwa Lakini Bado iko level ya Mombasa,Nairobi iko mbele kabisa
 
Sasa kwnn unamiliki id mbili zen unaji quote mwenyewe? Hii desperation Wakenya mko nayo imefika climax sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
We nawe sio bure una mawenge na matege yako yale, manake sio kw kunyezwa hko..
Kila mtu wewe anatumia id mbili, jamaa kajibu comment niliyo-mquote mulisaa mi ikabidi nikakaba sasa na wewe umekuja kubwetuka hapa..

Uzuri mulisaa (congoman) mwnywe keshanijibu
 
Kwahiyo huyu ndio mulisaa au? [emoji116][emoji116]
Screenshot_20210428-203647.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mji wenu hauna BRT, Electric SGR, High Class Bus Terminals, Kimji kidogo tu, halafu mko mbele kwa lipi?
*BRT_sini Barabara tu na mabasi ama Ni ndege🤣🤣 haya Thika Road iko BRT Ndani *Bus terminals_Tumeanza kujenga unajua sisi tunapanga jiji na sikujenga Barabara za hovyo Kama nyinyi na kueka Bus stand ya maana ili muonekane mko sawa🤣. Electric train*SGR yetu tunayo inarun kutoka mombasa-Nai-Naivasha (alafu UG/DRC mola akitujalia)🙏 SGR ya Kenya inaweza ku run na Diesel na Stima Kama hujawai juwa hehehe🤣
 
*BRT_sini Barabara tu na mabasi ama Ni ndege[emoji1787][emoji1787] haya Thika Road iko BRT Ndani *Bus terminals_Tumeanza kujenga unajua sisi tunapanga jiji na sikujenga Barabara za hovyo Kama nyinyi na kueka Bus stand ya maana ili muonekane mko sawa[emoji1787]. Electric train*SGR yetu tunayo inarun kutoka mombasa-Nai-Naivasha (alafu UG/DRC mola akitujalia)[emoji120] SGR ya Kenya inaweza ku run na Diesel na Stima Kama hujawai juwa hehehe[emoji1787]
BRT si ni barabara tu au sio? Mbn mmeshindwa kujenga sasa amuihitaji au? Kama hamuihitaji mbn mnahangaika na mirangi rangi sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilete sababu zipi. Hebu ondoa upumbavu hapa. Unaleta comparisons ya kitu hukijui. Nyie wakenya hamuwezi hata kujificha tabia zenu. Huwezi kumkuta mtanzania mwendawazimu kama wewe.
Sasa wewe unabisha bila sababu we unakili kichwani au umebeba fuvu tuu
 
*BRT_sini Barabara tu na mabasi ama Ni ndege🤣🤣 haya Thika Road iko BRT Ndani *Bus terminals_Tumeanza kujenga unajua sisi tunapanga jiji na sikujenga Barabara za hovyo Kama nyinyi na kueka Bus stand ya maana ili muonekane mko sawa🤣. Electric train*SGR yetu tunayo inarun kutoka mombasa-Nai-Naivasha (alafu UG/DRC mola akitujalia)🙏 SGR ya Kenya inaweza ku run na Diesel na Stima Kama hujawai juwa hehehe🤣
BRT sio githeri, BRT is a system mzee🤣🤣 sio unaamka asubuhi unachora barabara pale thika alaf unasema BRT ndio maana mpaka leo 3yrs bado munahangaika na BRT wakat sisi tunaenda kuanza phase 3 soon🤣🤣
 
*BRT_sini Barabara tu na mabasi ama Ni ndege🤣🤣 haya Thika Road iko BRT Ndani *Bus terminals_Tumeanza kujenga unajua sisi tunapanga jiji na sikujenga Barabara za hovyo Kama nyinyi na kueka Bus stand ya maana ili muonekane mko sawa🤣. Electric train*SGR yetu tunayo inarun kutoka mombasa-Nai-Naivasha (alafu UG/DRC mola akitujalia)🙏 SGR ya Kenya inaweza ku run na Diesel na Stima Kama hujawai juwa hehehe🤣
BRT ni system sio githeri🤣🤣👇👇👇
254C6EE0-BC7C-445D-AFFA-705A303272A9.jpeg
 
*BRT_sini Barabara tu na mabasi ama Ni ndege🤣🤣 haya Thika Road iko BRT Ndani *Bus terminals_Tumeanza kujenga unajua sisi tunapanga jiji na sikujenga Barabara za hovyo Kama nyinyi na kueka Bus stand ya maana ili muonekane mko sawa🤣. Electric train*SGR yetu tunayo inarun kutoka mombasa-Nai-Naivasha (alafu UG/DRC mola akitujalia)🙏 SGR ya Kenya inaweza ku run na Diesel na Stima Kama hujawai juwa hehehe🤣
Mbona haiendi na stima sasa tukakona 🤣🤣🤣 hani hii mitungi iende na stima wakat hapo ina full vibration, rail yenyewe ni bolt jointed na sio welded hahahaha
E604628C-46D8-407C-A498-0A5707266E34.jpeg
 
Naona ni cheaper ukicompare na Tazara we icheki youtube video yake
Kuna kitu bro naona hujakielewa kwa design nayoona hio ya ghana ina support two lanes wakat ubungo ina BRT system ndani yake na ukumbuke kuna BRT ways second and third level hilo moja na pia naona quality ya ubungo iko sawa sana

Hii ni interchange ya ghana👇👇👇
C6BAC77A-836E-4632-BE62-D598D33ACF6B.jpeg
 
Back
Top Bottom