Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Guys, this article raises the exact points that I wrote about adolescent pregnancy in Tanzania a few weeks ago. But since most of you were not willing to discuss about this issue ( not that I’m surprised), I’ll continue sharing information about it to raise awareness among the Tanzanians who follow this thread.



View attachment 1764966

If Magufuli’s approach to this problem worked then shouldn’t we be seeing a fall in the number of schoolgirls dropping out because of pregnancy?
Hii sasa hatari
 
Pamoja mkuu.

Hii nchi lazima tuielewe vema. Lazima tuwepo wale ambao uzalendo wetu ni wa kutupwa na tusiyumbishwe kwa namna yoyote ile.

Kama Magu alijitoa sadaka ili sisi tufunguke, tutakuwa wajinga ikiwa tutakaa kimya kuona nchi inarudi gizani.

Tusiache kupeana moyo na kufunguana no matter what.

Thanks for the wishes. I wish you all the best too.
Hehehehe nafurahi sana nikiona wazalendo kama hawa, hongereni sana wakuu mpk kieleweke hakuna kurudi nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya wakiishi huko na wale wazungu tourist kilifi watakaa wapi ongea ukwei tu hata kama ni mchungu 🤣🤣🤣🤣🤣
Wala sijasema wakenya wote, wazungu na raia wa kawaida wana rent hayo majumba shekhe. Naongelea kitu nachokijua
 
Mkuu, Mwinyi ameiva barabara. Anayo kila sifa kiongozi visionary anapaswa kuwa nayo. Mbali na maono, ni mtu anayejua namna ya kufanya teuzi.

Juzi hapo kwa mfano, kateua watu ambao kwa hizi elimu zetu za vyeti alikosolewa. Kwamba aliteua watu pasi na kuzingatia profession zao zikilinganishwa na taasisi watakazoongoza. Katoa jibu lililonikosha sana na kunipa imani kubwa sana kwake:

"Mimi sitafuti utaalam, natafuta uongozi". Period.

Rejea,

Ulimwengu wa wanazuoni ulikosoa teuzi/chaguzi zifuatazo;

1. Mkemia kuwa Rais.
2. Mhandisi kuwa Katibu mkuu kiongozi.
3. Mwanasheria kuwa waziri wa mambo ya nje.
4. Mwanasheria kuwa gavana wa benki kuu, nk

Lakini tazama matokeo yake. Chini ya uongozi wa hao watajwa hapo juu ndipo taasisi zao zimekuwa na ufanisi zaidi tangu uhuru wa nchi hii.

Mwinyi kaitendea sana haki Wizara ya ulinzi.
 
Oyaa nlikuwa sijaona hii wakuu, kumbe ndio maana wamekimbia,
Yosef Festo komora096 Mashashola Kafrican MK254 vulcan Tony254 Edward Wanjala kujeni muone aibu ya mwaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya ni mavi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji1139][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji90]
JamiiForums-1279288946.jpg
JamiiForums-1579291353.jpg
JamiiForums1618534779.jpg
JamiiForums1077978369.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee hebu pitia na hapa


View attachment 1764031

Hii ni taarifa mbichi kabisa.
Wewe hujui kitu ,,kutoka Chunya hadi sikonge/Itigi ni mavumbi tupu

Kwa hiyo barabara ya km zaidi ya 500 ndio unajenga kwa vipande vya km 40 ,,utaimaliza lini? Si hadi akirudi Yesu? Ndio maana barabara za huko Kigoma hazimaliziki kwa ujinga kama huu toka enzi za mkapa
 
Wewe hujui kitu ,,kutoka Chunya hadi sikonge/Itigi ni mavumbi tupu

Kwa hiyo barabara ya km zaidi ya 500 ndio unajenga kwa vipande vya km 40 ,,utaimaliza lini? Si hadi akirudi Yesu? Ndio maana barabara za huko Kigoma hazimaliziki kwa ujinga kama huu toka enzi za mkapa
We kwani unataka nini mbona unalalamika lalamika kama mtoto wa kike wewe, hebu tuambie unataka nini wacha huu upumbavu wa kulalamika hovyo km unasikilizia mashine ikiingia na kutoka kunako kalio, haya nambie unataka nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masaa yote we unalalamika tuu, kwnn unagubu namna hii wewe? Id zako zote ni kutoa lawama tu tangu enzi za Magu mpk leo Samia bado unalaumu laumu tu kwnn lkn unatabia mby namna hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hujui kitu ,,kutoka Chunya hadi sikonge/Itigi ni mavumbi tupu

Kwa hiyo barabara ya km zaidi ya 500 ndio unajenga kwa vipande vya km 40 ,,utaimaliza lini? Si hadi akirudi Yesu? Ndio maana barabara za huko Kigoma hazimaliziki kwa ujinga kama huu toka enzi za mkapa
Mzee unaijua ramani ya Tanzania kweli!?
Itigi na Sikonge wapi na wapi!?
Itigi ipo Singida karibu na Dodoma
Sikonge ipo Tabora Karibu na Kigoma.
Nikikuita wewe ni mpumbavu nitakuwa nimekosea!?
 
Kuna nyingine kuna Mp alienda na Helicopter kuzindua darasa la tope (mbavu za mbwa) [emoji23]
Hahahahahaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee unaijua ramani ya Tanzania kweli!?
Itigi na Sikonge wapi na wapi!?
Itigi ipo Singida karibu na Dodoma
Sikonge ipo Tabora Karibu na Kigoma.
Nikikuita wewe ni mpumbavu nitakuwa mimekosea!?
Kazi yake ni kulaumu laumu tu, yn huyu mpuuzi ana lawama sijapata kuona, nadhani bosi wake atakuwa kwenye matatizo kweli kweli, mana ukiwa na mfanyakazi km huyu tegemea kuyumba tu, hana faida kabisa mfanyakazi km huyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee unaijua ramani ya Tanzania kweli!?
Itigi na Sikonge wapi na wapi!?
Itigi ipo Singida karibu na Dodoma
Sikonge ipo Tabora Karibu na Kigoma.
Nikikuita wewe ni mpumbavu nitakuwa mimekosea!?
Wewe ndio mpumbavu kwani unadhani nimeweka stroke hapo ya Kazi gani? Acha kukurupuka mimi sisomi kwenye ramani nafahamu miji mikuu ya mikoa na Wilaya zote Tzn hii huna cha kuniambia

Juzi tuu tumetoka Kahama kwenye kikao cha wadau wa bonde la Ziwa Rukwa,, nimekwambia hivi barabara zote za western ni mavumbi tupu iliyosogea ni hiyo ya kwa Waziri wa ujenzi wa zamani kamwelwe
 
Wewe ndio mpumbavu kwani unadhani nimeweka stroke hapo ya Kazi gani? Acha kukurupuka mimi sisomi kwenye ramani nafahamu miji mikuu ya mikoa na Wilaya zote Tzn hii huna cha kuniambia

Juzi tuu tumetoka Kahama kwenye kikao cha wadau wa bonde la Ziwa Rukwa,, nimekwambia hivi barabara zote za western ni mavumbi tupu iliyosogea ni hiyo ya kwa Waziri wa ujenzi wa zamani kamwelwe
Mzee ficha utoto na ujinga wako.
Nimekuuliza Itigi na Sikonge unazijua au unatoa upumbavu tu hapa!?
Mzee nimeanza kuizungukia Tanzania sasa ni mwaka 30.
Kona zote za Tanzania nazijua Mzee.
Itigi ipo Singida na Sikonge ipo Tabora. Hazina uhusiano wowote.
 
Back
Top Bottom