Huu ni muda mbaya sana kukopa mimi sio Economist ila ninaweza kukuhakikishia hilo! Hatuhitaji kukopa bali tumalizie miradi tuliyonayo ambayo mikopo yake iliombwa kabla ya corona! After corona then we can think of taking credit! Nina uhakika mama Samia anaambiwa hilo saahii Dodoma mkutano wa NEC! BTW debt to GDP ratio ya Kenya ipo juu ya 90% ! Ubaya zaidi wa unacho-suggest ni kukopa kwa kujilinganisha ati kwa vile majirani wamekopa zaid wana debt to GDP ratio kubwa zaidi. Sorry, I find ur thinking is too shallow!