Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So electric sgr ndio maendeleo pekee kuliko diesel? Kwanza nionyeshe leo imebeba container ngapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa mwenye electric car ako better than mwenye fuel car? It is just a mechanism of powering the engine dogo na the use, uko na akili fupi kweli., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., one brt vs more highways., interchanges, expressway, bypasses/ring roads etc., [emoji23][emoji23][emoji23]., Na vyote umetaja mumekusanya Dar, BRT Dar, flyovers Dar, SGR Dar bado, kulikoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ona hapa, kama wanaongopa nambie tuwafanyie auditing [emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-1368577224.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ile ofisi ya TRC ikijengwa wacha tuu!
Ile nahisi watakuwa waliifuta maana maaumuzi ya kuhamishia Dom HQ za taasisi zote za umma yalikuja baada ya kuwa Lot I ishakuwa signed. Ila ile design ilivyo kali inabidi isipotezewe, itumike kwenye jengo lolote lingine.
 
Largest Africa's avocado plantation [emoji1649][emoji1649][emoji1241][emoji1241]

Wakenya hawatakaa waamini tulivyowapindulia meza kwenye horticulture industry. Kwenye parachi tumewafanyia mchezo hawaamini wanachoona. Wanaona vumbi tu. Nikiangaliaga vitalu vya parachichi vilivyo vingi huwaga naimagine prodn itakuwaje in five years.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewe, hebu nipe hiyo/hizo kampuni z/inayotengeneza 'MELI' huko bongo? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kubwa zaidi inaitwa Songoro Marine. HQ yake iko Mwanza. Meli zote tatu ziwa Nyasa imetengeneza yenyewe. Kwa kifupi Ukiacha hiyo mpya inayokuja MV Mwanza ambayo wao ni subcontractor, meli na vivuko vingine vyote vilivyotengenewa in the past 5 years, hapa TZ wao ndiyo masteringi. Tulia hivyo hivyo picha zitakujia hivi punde.
 
Bado 2021 tunaendelea kuwatengenezea meli, kulikoni??[emoji848][emoji848], Propaganda vs reality on the ground. Mwenye nguvu na uwezo mpishe.
Nyie mnayo infrastructures za kujenga meli nyie? EA nzima infrastructures za kujenga meli zipo Tz pekee huko kwingine mnajenga Mitumbwi na co meli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wewe una matatizo ya akili. Kwenye sheria imeandikwa mtoto aliyepata mimba atafukuzwa shule unless kama anasomea private school?

Unataka kuniambia kuwa uongozi wa shule binafsi nchini haupaswi kufata sheria za nchi kwasababu wao ni “private” institutions?

Mpotoshaji sio mimi. Ni WEWE!

Halafu, wewe wala usihangaike na uzalendo wangu. Kwasababu I don’t give a damn about what you think of me. Tumeelewana?
Simple; you won it. Serikali ya Tanzania inazuia wanafunzi wanaopata mimba kuendelea na shule. Hivyo binti akipata mimba yeye na elimu ndiyo basi tena. Just wanted to know if I was in debate with a responsible person. Case closed.
 
Mpokeaji hazuiliwi kuendelea na shule bali kuna kuna channels kadhaa za hiyo shule (tena ni mbili tu: primari na sekondari za gvt) ambazo kwa ustawi wa jamii yetu hawezi kuruhusiwa kuendelea nazo

Huo “ustawi” wa Jamii unaozungumzia ni upi hasa? Maana Elimu Ndio ustawi wa Jamii na kama watoto hawapewi elimu wanayostahili kuipata huo ustawi unapatakina Vipi?
Mkuu. Nimekwisha kubaliana nawe. Hakuna shule tena kwa binti anayepata mimba Tz. Tuendelee na maisha mengine. Sorry for wasting your time.
 
Kubwa zaidi inaitwa Songoro Marine. HQ yake iko Mwanza. Meli zote tatu ziwa Nyasa imetengeneza yenyewe. Kwa kifupi Ukiacha hiyo mpya inayokuja MV Mwanza ambayo wao ni subcontractor, meli na vivuko vingine vyote vilivyotengenewa in the past 5 years, hapa TZ wao ndiyo masteringi. Tulia hivyo hivyo picha zitakujia hivi punde.
Tupia kabisa na vipicha kadhaa, usisahau kutuonyesha process ilivyo hapo, sio mabango tu. Ntaka kuona process yenyewe ya MELI ilitengewa hapo!
 
Hivi kuna jeshi la Kenya linaweza kuzalisha kitu chochote cha maana kwenye real life. Kama hao Chita JKT juzi kati tu hapo Rais kasema hakuna mashamba ya umma ya mbegu za samaki na in one month wamekuja na majawabu tayari. Watakuwa wakizalisha both vifaranga na samaki wakubwa!

Kenyan army sijui hata kama wanaweza kulima vitalu vya mchicha! Naikubali sana attitude tuliyodevelop wabongo kuhusu kuijenga nchi.
Nyie limeni bana, wacha fujo. 😂
 
Hapa kwenye meli wakunya roho zinawauma sana basi tu wafanyeje
😂😂😂 Ila we jamaa ni hovyo sana, upo unafanya nini sasa humu ndani kama hakuna battle.? mmejisifu sana ila maneno mengi kuliko kinachoonekana, nimeona tena eti unajiingiza kwenye battle la kutengeneza boats 😂😂 ikiwa tz inatengeneza meli na inamiliki boats na meli nyingi kuliko nchi yeyote ukanda huu 😂😂, hii ni hatari sana . Mimi nitaanza na wewe kwenye boats ili utaje ambayo ni made in kenya, no 1View attachment 1766388View attachment 1766389View attachment 1766390no 2View attachment 1766392View attachment 1766394no3View attachment 1766395View attachment 1766397no 4View attachment 1766398View attachment 1766400no 5View attachment 1766401no 6View attachment 1766402bonus View attachment 1766403View attachment 1766404heb nitajie katika hizi boats ambayo ni kenyan made hata moja tu
 
naelewa bruh
emoji28.png
.. i’m an engineer by professional.. hivyo navi elewa sana.. ndo mana nikasema ni ukuuu wa Mungu na science..
Ni ukuu wa Mungu bali science inajaribu kueelezea kwa juujuu kwa mtu asiyeamin Uwepo wa Mungu atasema Ni science but ukichunguza kwa kina utagundua kuna intervention of a supreme being
 
Ile nahisi watakuwa waliifuta maana maaumuzi ya kuhamishia Dom HQ za taasisi zote za umma yalikuja baada ya kuwa Lot I ishakuwa signed. Ila ile design ilivyo kali inabidi isipotezewe, itumike kwenye jengo lolote lingine.
Nasikia Kuna jengo litajengwa hapo DSM station kuunganishwa na hiyo station. Wanafanya site clearance hapo na landscape at the moment.
 
Ni ukuu wa Mungu bali science inajaribu kueelezea kwa juujuu kwa mtu asiyeamin Uwepo wa Mungu atasema Ni science but ukichunguza kwa kina utagundua kuna intervention of a supreme being
Elimu tuliyonayo hapa duniani juu ya hizi maneno bado ni ndogo sana mkuu ila tuamini tu wanavyosema lkn wamejaribu ila hawajapatia naimani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom