The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Wao ni 4 level lkn haina BRT yetu ni 3level yenye BRT ulijue hilo kwnz, alafu hapa tunazungumza watu wenye infrastructure za kisasa yn Watz na waghana, ss wewe km umekuwa mghana karibu ila km unatokea nchi isiyokuwa na hz infra tafadhali pita mbali cz unaongea vitu ambavyo hujawahi kuviona.Neno complex unalileta wewe ili uvutie kwako, mwenzako kakwambia yao ni 4 tier..we ulitakiwa ukubali au unataka kusema nguzo za brt lanes ni tofauti na zile zinazopita magari ya kawaida dar
Sent using Jamii Forums mobile app