Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi ni thika road tu? [emoji23][emoji23]
NEW KID IN TOWN ICD LINK ROAD

Screenshot_20210428_091945_com.google.android.youtube.jpg
Screenshot_20210428_091924_com.google.android.youtube.jpg
Screenshot_20210428_092048_com.google.android.youtube.jpg
Screenshot_20210428_092025_com.google.android.youtube.jpg
Screenshot_20210428_092112_com.google.android.youtube.jpg
Screenshot_20210428_091816_com.google.android.youtube.jpg
Screenshot_20210428_091739_com.google.android.youtube.jpg
 
Sasa ona ulivyo boya kishenzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fanya utafiti kabla ya kukurupuka [emoji23][emoji23][emoji23], ingia ata YouTube ujionee mwenyewe, ama website ya KENHA or KURA., Lizembe na lishamba lya gongo la mboto linajitia hamnazo kujifariji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].[emoji13], Utalazimisha mambo Hadi lini? jikubali tu sio hatia kukua na chache kuliko mwenzako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].,

View attachment 1766187
View attachment 1766188
View attachment 1766194
View attachment 1766194
View attachment 1766197
View attachment 1766198
View attachment 1766201
Apa kurasini interchange pale Mfugale flyoverView attachment 1766231View attachment 1766232View attachment 1766233View attachment 1766234
images%20(7).jpeg
 
Nyie mna commuter rail au upuuzi? Jengeni wacheni upumbavu, cc tunayo commuter rail ya mkoloni kama nyie lkn tuna mpango wa kujenga mpya yn yetu wenyewe na co ya mkoloni alafu tujisifu eti tuna commuter rail ni upumbavu.

Mind u, hakuna infrastructure yoyote iliyopo Nairobi zen ukaikosa Dar ila kuna infrastructure zipo Dar but Nairobi hamna kama unabisha twende kazi ila kama haubishi basi tuache [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Commuter rail made in Tanzania!??? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
ukuu wa Mungu na science pekee ndo inajibu why the water don’t drop here

It’s IMPOSSIBLE for the water on earth to spill into space because of gravity.

5DDDE7C5-D996-4245-AE11-7E1292283167.jpeg


Kwa jinsi hii picha ilivyokaa unaweza kusema kuwa upande wa “chini” wa picha Ndio maji yatajikusanya na hivyo kumwagika into space. Yaani hivi:
FE72B019-5332-42A8-90CA-2BF6834FAA7B.jpeg


Lakini ukiwa duniani, “chini” inamaanisha toward the earth. Yaani Kwenye ground, ambapo nguvu ya gravity (mvutano) inayazuia maji “kumwagika” nje ya dunia. Na pia ndio mvutano huo huo unatuzuia tusielee hewani. Kadri unavyokuwa mbali na uso wa Dunia na ndivyo mvutano unapungua. Ndio Maana astronauts wakiwa space huwa wanaelea because gravity ni sifuri.

AB7ABB67-2BD8-4823-8DD5-E31F8E3DC99E.jpeg


Kwa hiyo maji yanafata mvutano unaaonyeshwa na direction ya hiyo mishale.
 
Hakuna battle hapa, ni blind patriotism on display from the south. Inferiority complex at its best.
😂😂😂 Ila we jamaa ni hovyo sana, upo unafanya nini sasa humu ndani kama hakuna battle.? mmejisifu sana ila maneno mengi kuliko kinachoonekana, nimeona tena eti unajiingiza kwenye battle la kutengeneza boats 😂😂 ikiwa tz inatengeneza meli na inamiliki boats na meli nyingi kuliko nchi yeyote ukanda huu 😂😂, hii ni hatari sana . Mimi nitaanza na wewe kwenye boats ili utaje ambayo ni made in kenya, no 1
Screenshot_20210426-014625_1.jpg
Screenshot_20210426-014536_1.jpg
Screenshot_20210426-014615_1.jpg
no 2
Screenshot_20210426-015216_1.jpg
Screenshot_20210426-015238_1.jpg
no3
Screenshot_20210426-015257_1.jpg
Screenshot_20210426-015342_1.jpg
no 4
Screenshot_20210426-014443_1.jpg
Screenshot_20210426-014505_1.jpg
no 5
Screenshot_20210426-015849_1.jpg
no 6
Screenshot_20210426-014713_1.jpg
bonus
Screenshot_20210426-011820_1.jpg
Screenshot_20210426-223809_1.jpg
heb nitajie katika hizi boats ambayo ni kenyan made hata moja tu
 
Yo The best 007 Simon ichoboy01 hapa tunakazi moja tu leo kumpiga mtu kuhusu boats na meli mpaka aelewe kwamba sisi sio league yao, mimi nitaanza na meli za ziwa victoria, wengine pigeni za ziwa tanganyika na ziwa nyasa, wakileta fyoko nyie pigeni pia za Bahari ya hindi,tuna kazi moja tu ni kumpiga tu, nia tunayo, nguvu tunayo, haya twende kazi, akielewa tunahamia kwenye barabara ili wafunge midomo
 
Tanzania inajaribu kujijenga Lakini wivu itawaua musione mwenzenu ako Juu mthani mko ligi moja No,Nairobi iko level yake Ukweli na ata mkikataa mnajua ukweli,Jitahidini Lakini msidharau mwenzenu kwasababu ako vizuri kuwaliko iyo unaitwa wivu na asiyeitikia kushindwa si mshindani
umeongea vyema ila uachane na pumba,,,,snenda kwa fact vitu ambavyo nairobi vipo na dar vinakosekana hapo ndipo kwenye kipimo usiropoke...

nairobi ni old school city enzi hizo ndiyo mlibamba kwa sasa hamna kitu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kaa chonjo
 
😂😂😂 Ila we jamaa ni hovyo sana, upo unafanya nini sasa humu ndani kama hakuna battle.? mmejisifu sana ila maneno mengi kuliko kinachoonekana, nimeona tena eti unajiingiza kwenye battle la kutengeneza boats 😂😂 ikiwa tz inatengeneza meli na inamiliki boats na meli nyingi kuliko nchi yeyote ukanda huu 😂😂, hii ni hatari sana . Mimi nitaanza na wewe kwenye boats ili utaje ambayo ni made in kenya, no 1View attachment 1766388View attachment 1766389View attachment 1766390no 2View attachment 1766392View attachment 1766394no3View attachment 1766395View attachment 1766397no 4View attachment 1766398View attachment 1766400no 5View attachment 1766401no 6View attachment 1766402bonus View attachment 1766403View attachment 1766404heb nitajie katika hizi boats ambayo ni kenyan made hata moja tu
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Wewe, hebu nipe hiyo/hizo kampuni z/inayotengeneza 'MELI' huko bongo? 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom