Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili jengo kwa mbele hospital ya mloganzila ni jengo la nini
20210310_124726.jpg
 
Wewe unamjua rais wa wapi aliyepo KNH?
Nikimjua ndio atanisaidiaje, km wanataka tumjue wangelimtaja km vile familia ya odinga ilivyofichua..
Lkn huyo alioko hapo huenda ikawa ni mtu ambae anapenda sana kuficha maradhi, naskia haga kanisani hakwenda alisali nyumbani
 
Tuwekee na ya Uhuru [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakenya kwenye twitter tuko vizuri, huo ndio ukweli hata sijui unacheka nini. Uhuru alikuwa na followers wengi kushinda rais yeyote ukanda huu kabla ya kutoroka twitter kwa kichapo alichokuwa akipokea kutoka kwa Wakenya.
 
Nikimjua ndio atanisaidiaje, km wanataka tumjue wangelimtaja km vile familia ya odinga ilivyofichua..
Lkn huyo alioko hapo huenda ikawa ni mtu ambae anapenda sana kuficha maradhi, naskia haga kanisani hakwenda alisali nyumbani

Ona ulivyo ndezi [emoji3516][emoji3516]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] sisi tuna GDP sisi tuna budget kubwa sisi tuna nye nye nye nchi haiwezi kujenga hata km 1 reli
Pesa zenu za kutoka GDP account ya tz huaga mnawekaga katika benki gani
 
Back
Top Bottom