Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bwahahaha!!narudia tena, hapo tz mnakojisifia usanii bado kuna wasanii ambao hawamgusi willy paul na bahati kifedha..

Jamaa msanii na misifa yote kumbe anatembelea gari la kukodi na ukifuatilia sana wengi wanaigiza katika maisha yao
Heb ona,taja msanii ambae unahis ana hela kuliko wasanii wa bongo au taja msanii unaehis anafake alaf ni msanii mkubwa ,leo nikutoe tongo tongo nikujuze ukweli
 
. Weunaijua tz au unaropoka tu.? kwenye waliomo umo.? Navykenzo ni international artists mzee tena wamefanikiwa vikubwa sana . check it out xxl imewafuata home
Narudia tena, navy kenzo wana mafanikio gani kimziki?
Halafu ujue hapa sio sehemu ya kupigia soga
 
Ndio nimekujuza ivyo,Mimi ni mwalimu wako kwenye kiswahili ,ukiwa na tatizo lolote kuhusu lugha ya kiswahili leta hapa
Hoja kwishaaa
Tena umerudi pale pale ya kwamba wa tz mnapenda sana kujiweka levels ambazo hamuendani nazo..
Ona sasa ulivyojishusha hadhi
 
Diamond haujawahi fake na ana hela kuliko msanii uoyote EA ntakuonyesha mali zake hapa
Manake tangia ni kapuku pale wasafi bado alikua ndio CEO, kwhyo usisahau km kuna wenye vyao nyuma ya pazia wanajitia ku support kumbe wanatumia vipaji vya wengine kujitajirisha
 
Khee!!
View nyingi haimaanishi km ngoma yako au album eti imeuza sana kuliko ya mwenzio..

Tatizo domo anatumia nguvu nyingi kuliko maelezo ndio manake wale wamarekani wakaenda kumla hela za collabo alafu hawa post ngoma zao..
Kenya tumekubali mziki wetu upo chini lkn tz mnalazimisha kujiweka sehemu ambayo sio size yenu na hilo ndio tatizo huku mkisahau bila sisi kuwa support kimziki basi hamuendi popote
pointless....

ikiwa mmeshindwa kujisupport wenyewe ,mtawezaje kuisupport bongo flavour...
 
Back
Top Bottom