ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Dunia nzima inamuongelea magufuli kweli ni fahari kubwa sana kwa tanzania 😂😂😂 yani dunia nzima imeacha shughuli zao imesahau corona imesahau watu wanakufa wanamuwazia magufuli 😁😁😁😁 asee mwaka huu tutaona mengi sanaNairobi hospital imesema kwamba Magufuli hayupo huko. Ila mbona Magufuli amekataa kujitokeza hadharani?
Halafu hawa BBC Africa nao wanapenda umbea sana.
View attachment 1722347