THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
BBC hii hii leo huwezi tofautisha na magazeti ya udaku!Dah!!!Nimewaza sana na kujaribu kuconnect dots!!na kupima naona uongo ni mwingi kuliko ukweli aisee, propaganda za kishamba sana hizi,usikute hata hii habari iliyoko BBC Africa imeandwika na Mkenya kwa sababu ya chuki tu na Mzee wetu na Taifa la Tanzania... Wakenya mmenisikitisha sana.Hii ni BBC ya wapi ambayo source yake ni TL mbona wanajiabisha hivi,ukiona habari ya nzito kama hii imewekewa alama hizi' ' kwny headline... halafu unaingia ndani unasoma eti source ni bwana mmoja hivi dah!!! Acha ninyamaze.

