Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mmewekeza kwenye ventilators kama Kenya au mlikuwa mko busy kupiga siasa kwamba Covid haipo? Ventilators ni expensive kununua na inachukua muda mrefu kuagiza na kufunga kwenye mahospitali. Kenya tuna ventilators vya kutosha ila corona ilipoanza hatukuwa na ventilators vya kutosha ikabidi tuagize vingine. Kwa sasa tunavyo vya kutosha. Halafu covid ina complications nyingi sana ambazo madaktari wenu hawana uwezo wa kuvitibu maana walikuwa wanadiagnose kila mtu kwamba ana pneumonia na kujitia hamnazo kwamba covid haipo nchini.
Kwan ventilator ni sh ngapi?

acha ushamba Tony254
 
Yote hayo kukufurahisha wewe au? Taarifa za kuzuia mahindi mlikanusha na hizi zimetoka haya kanusheni basi Ili Kenya iwaombe radhi

Maradhi sio disco huwa yanakuja na majibu,time will tell
Taarifa za mahindi hazihusiani hapa kama mpaka wa isbania na horohoro mahindi yanapita kama kawaida 😀😀😀 sisi tunachiongelea ni taarifa za uongo alf mlivo wajinga eti munashangilia mtu kufa au kuumwa yani
 
hostel hzo utasema bomu limepita hapo
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
1615360380037.png
 
Wakunya bwana JPM comando ashindwe kwenda kupata matibabu ata south eti alazwe Nairobi hivi mnamjua magu au huwa mnamsikia tu😟😟😟
Ukiwa kwenye ventilator huwezi toa maelekezo na huna uchaguzi wa wapi pa kwenda,mgonjwa hachagui dawa
 
Unajua kitu wakenya wasicho elewa sio kwamba mambo Tz yapo shwari pase.. bado vyuma vimekaza lakini kwa saivi we understand kwamba bado nchi inajengwa kwaio life being tough is inevitable kwa sasa lakini it's the vision kutoka kwa huyu mzee that keeps us pushing... we definitely see the bright future there's no doubt in that but we just understand kwamba with success and achievement comes with a price...

Wa Tz tusikate tama huyu Mzee ana bonge la vision.. it's going to be tough kwa kipindi chake lakin trust me the future it's something will forever cherish and remember what this Man did to make it happen... Inshalah
Brighter future kwa useless dremliner na sgr? Hizo projects za upigaji zitaendeshwa kwa fedha ya ruzuku ,ndo brighter future hiyo au unachekesha
 
Ukiwa kwenye ventilator huwezi toa maelekezo na huna uchaguzi wa wapi pa kwenda,mgonjwa hachagui dawa
So kakosa ventilators tanzania aende kenya wewe inakuingia akilini?? Yani ashindwe kutibiwa hospitali za jeshi nchi zima ikiwa mama yake mzazi alimleta muhimbili na akamrudisha chato na hakumpeleka hata india, punguza upupu kichwani
 
JPM never denied existence of Covid-19,
Just propaganda in Media to win lazy followers like you,
He even admitted his own son Contacting Covid-19,
Last few days he admitted in Public several family mambers of his very own family contacted Covid-19 and recovered,
How do u say then he denied Covid-19 existence
Game over nyinyi hamujajua hawa kwann wanamchukia magufuli wao walitala magu afunge nchi uchumi uporomoke kabisa lakini sasa jamaa kaonekana anaakili africa kwakutofunga nchi sasa hicho kitu kimewauma sana
Kwa hali ilivyo sasa kweli naamini Africa tuna kazi kubwa mno kufikia pale developed countries walipo, yn unaona kabisa mtu anapigania maendeleo ya nchi lkn sisi waafrika tukiwemo baadhi yetu tunaolinda maslahi binafsi tunapinga kwa nguvu zote.

Kipi kibaya anachofanya Magufuli?
Anatumia rasilimali za nchi kwa manufaa ya nchi mfano;

1. Anajenga hospitals.

2. Anajenga barabara quality.

3. Anajenga madaraja (sio vidaraja).

4. Anajenga mazingira ya kumnufaisha mwananchi fukara kwa kuruhusu hawkers kujifanyia biashara popote pasipo kubughudhiwa.

5. Anajenga reli ya kisasa (ilikuwa ni ndoto hasa kwa nchi yetu kuona raisi anaanzisha mradi wa reli)

6. Amewabana investors ktk biashara ya madini kuhakikisha kwamba nchi inapata mgawo wake sawa kwa sawa na investors.

7. Elimu bure kuanzia primary to secondary (japo ubora bado haukidhi viwango lkn amethubutu na ameweza).

8. Ame introduce mentality ya Afrika inaweza pasipo kutegemea misaada na inaonekana kufanya kazi.

9. Ameimarisha na anaimarisha sekta za nishati, madini, utalii, uvuvi, usafirishaji n.k.

10. Anapambana kuhakikisha pesa ya mwananchi haifujwi i.e no cartels, no looting, no embezzlementetc.

11. Amejenga na anajenga masoko, bus terminals etc all over the country.

12. Mapambano dhidi ya rushwa na manyanyaso kwa raia na mali zao (hakuna aliye mkubwa mbele ya sheria............etc, etc

Lakini bado anaonekana hafai licha ya kwamba wananchi wengi wanaelewa anachofanya ni nini, imebaki waafrika wachache wabinafsi na wanaotetea matumbo yao plus neighbors ambao kwa namna moja ama nyingine wamebanwa ktk maslahi ya nchi yao.

Nani asiyejua kwamba Kenya, some other neighbors and foreigners walikuwa wanapata fedha nyingi kupitia mali za Tz mfano utalii, madini, kilimo, uvuvi, usafirishaji, nishati na mali kadha wa kadha?

Leo shamba la bibi limepata mrithi na ndiyo maana unaona kelele mtindo mmoja tena ni kelele zinazofanana na zinazotoka kwa wale wale.

Ni kweli ana mapungufu yake kama binadamu na anaweza akawa kuna some amount of biasness anafanya ila yote hayo kwa kiwango kikubwa ni kwa ajili ya maslahi kwa taifa.

Mwengine anasema kabisa eti raisi wenu ameletwa kwetu kwa matibabu hivyo tunaweza kumfanya chochote, ss unajiuliza raisi co wenu umfanye kitu mby kakufanya nini? Unashindwa kupata jibu unabaki kumuangalia na kucheka tu

Watz tusirudi nyuma, km shida ni kweli tunazipata, hela imekuwa ngumu, wkt mwingine hata sisi vijana hasa graduates tuna wakati mgumu ktk suala zima la ajira, cz wengine walishazoea zile za "kamlete" but nowadays zipo kwa kiwango kdg sn ila mambo yatakuwa sawa na taifa linaenda in the right direction, hii ni transition period tu ktk kupata maendeleo ya kweli na sio yale ya kuletewa neti na kuambiwa uchumi umekuwa.

MA = Making

TA = Tanzania

GA = Great Again.
 
Hapo sasa utawashangaa yani wanamchukia utasema alikuja kenya akaiba pesa zao kumbe kawabana sehemu ndogo tu kwenye tanzanite na utalii😀😀 bila kusahau kaifanya port of dar kua na uhai mkubwa zaidi na ndio imekua mshindani mkubwa wa mombasa 😂😂😂 nimeamini wakenya hawalali wakiskia jina la magufuli
 
Brighter future kwa useless dremliner na sgr? Hizo projects za upigaji zitaendeshwa kwa fedha ya ruzuku ,ndo brighter future hiyo au unachekesha
Kwaio point yako ulitaka tusiwe na ndege? Au electricfied train? The jealousy in you 🤣🤣.. hiyo atakama sio yeye ange fanya in the future ange fanya mtu mwengine.. ilikua haikwepeki.... 🤣🤣 pumba za wakenya.. STFU. Dua za kuku hazi mfiki mwewe ata siku moja.. na situpo huku wait n see.. tuombe uhai
 
Ona uzushi mwingine huu hapa, yn ni kichekesho sn, eti Magu akatibiwe KNH wkt hapa kuna the biggest hospital in East and Central Africa
Screenshot_20210310-104357.jpg
 
1. mgonjwa wa Covid hatembelewi
2. Magu hawezi kuja nairobi
3. Walinzi wa Rais mna wajua.. wapigeni hata picha, kama mna hio audacity .. au pigeni picha kitu chochote kinachoashiria uwepo wa kitu cha kitanzania huo mf. magar ya TZ, walinzi wa Rais
4. Acheni spinning za kitoto

Mkuu huyu ni wakupuuza tu ni bora hata umsikilize mkenya mwenyewe kuliko huyu mbumbumbu
 
Back
Top Bottom