Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua suzzana imewaingizia shingapi we mzee wa views
Narudia tena, wimbo ukiwa na views nyingi haimaanishi km umeingiza hela nyingi
Tahira kweli wewe hela watatoa wapi ya kwenye digital platform we kichaa au hujui pesa inaingia vipi .? Tena na korona hii no shows haya tuambie ushuzi wako pesa inapatikana vipi bila views na streams mwehu wewe.?
 
Njoo pole pole ufundishwe vile mziki unavyoingiza pesa acheni kelele za views hapa
 
Hivi we bwege simba.kati ya sisi na ninyi akina nani washamba angalia wasanii bongo ndio mastaa wa hii mashariki ya Africa .take a look .. diamond in sieralion . Diamond arrive in Mozambique. . Diamond arrive in guinea bisau . Ikifkia kwenye masuala ya sanaa kaanae mbali sana na sisi hamtuwez hata kidogo sisi viwango vyetu ni Nigeria na South Africa bas
Mziki wa tz bila show za nje utakufa mskini
 
Hee tena. Haya una kitu gani cha kunifundisha mm naikiwa most successful artists in EA wapo bongo .?
Zaidi ya diamond na kiba mna mwngine, wazee wa video za south africa hamjambo..
Yani nguvu nyingi zaidi ya uwezo wao
 
Ajabu kweli .eti bila show za nje mziki mnakufa na ikiwa ndio kwanza watu wanafungu record leble ..NLM by rayvanny
Wasafi si ndio wanapiga show za nje
Wengine hata akina willy paul hawawafiki kihela na wakati wanategemea sana sana show za ndani..

Bongo bila show za nje utakufa mskini mwishoe, manake mtu atakua ywaumia lkn bado ywangangania maisha yasiokua ya level yake
 
Wasafi si ndio wanapiga show za nje
Wengine hata akina willy paul hawawafiki kihela na wakati wanategemea sana sana show za ndani..
😂😂😂. U must be kidding. Willy Paul una mlinganisha na nani sasa.? Ngoja nikusaidie kukuonyesha wasanii international tofauti na wasafi hapo bongo
 
Andika kwanza kiswahili kizur tuelewane ..inamaanisha nini.?
We ndio wakunifundisha mimi kiswahili, hahaa!!kweli umelemewa na mada sasa ndio unatafuta pa kutokea..
Kw taarifa yako we huna hadhi ya kunifunza mm kiswahili
 
. U must be kidding. Willy Paul una mlinganisha na nani sasa.? Ngoja nikusaidie kukuonyesha wasanii international tofauti na wasafi hapo bongo
Bwahahaha!!narudia tena, hapo tz mnakojisifia usanii bado kuna wasanii ambao hawamgusi willy paul na bahati kifedha..

Jamaa msanii na misifa yote kumbe anatembelea gari la kukodi na ukifuatilia sana wengi wanaigiza katika maisha yao
 
We ndio wakunifundisha mimi kiswahili, hahaa!!kweli umelemewa na mada sasa ndio unatafuta pa kutokea..
Kw taarifa yako we huna hadhi ya kunifunza mm kiswahili
Fala kweli wewe .ona mmi nimezaliwa tanga ni mswahili haswa and for your information kiswahili nimesoma advance nakijua nje ndani.😂😂 Eti anataka kubishana na mm kuhusu kiswahili 😂😂😂
 
Back
Top Bottom