Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Twitter ndio kila kitu katika viongozi, punguza hasira lkn we najua kw akili zako umashuhuri ni kuwa followers wengi insta
Ikiwa domo tu anaiwakilisha tz poa lkn twitter milioni inamshinda kufikishaView attachment 1721969
Kwenye suala la umaarufu heb usije ukalinganisha diamond na mkenya yeyote yule kuwahi tokea tangu Kenya ilivyoumbwa. Punguani wewe
 
Kwenye twitter alikuwa na followers wengi kushinda rais yeyote Afrika nzima kabla ya yeye kutoroka. Hio ni fact yenye haipingiki. Wakenya wapo wengi sana kwenye twitter. Sijui ni kwa nini Wakenya wanapenda twitter. Watanzania mpo wengi instagram kwa sababu ya kutazama mapicha na mavideo. Twitter huwa inawashinda maana ni kiingereza kinachotumika sana kule. Na kiingereza huwa imewalemea sana.
Insta kw tz basi ujue ni umbea wala hakuna lingine..
Kisha amesahau km vitu vya kutoka twitter ndio hu trend sana hata kuliko insta na upuuzi mwngine wowote ule..

Bado watapinga, lkn yale mapapai yalimfanya ajulikane manake sio pumba zile..then wasisahau walenya ndio wali hype sana ndio mpka ile issue ikachanja mbuga
 
We unawazimu nn, kuna mtandao unazidi twitter kwa umbea?
 
Insta kw tz basi ujue ni umbea wala hakuna lingine..
Kisha amesahau km vitu vya kutoka twitter ndio hu trend sana hata kuliko insta na upuuzi mwngine wowote ule..

Bado watapinga, lkn yale mapapai yalimfanya ajulikane manake sio pumba zile..then wasisahau walenya ndio wali hype sana ndio mpka ile issue ikachanja mbuga
Magu alianza ku trend mda mrefu kutokana na uchapa kazi wake, umesahau issue ya makinikia?
 
Kwenye suala la umaarufu heb usije ukalinganisha diamond na mkenya yeyote yule kuwahi tokea tangu Kenya ilivyoumbwa. Punguani wewe
Sema kw suala la umbea na kiki hatuwezi mlinganisha na yyte yule kenya..
Lkn eti umaarufu basi kuna wakenya maarufu hata kuliko huyo kikaango kenu domo...

Diamond ni levels za chini sana ukitoa kiki na umbea, we huoni jamaa antumia nguvu nyingi sana lkn bado hamna lolote..

Wasanii wakubw ni hawa hapa
20210310_162225.jpg
 
Sema kw suala la umbea na kiki hatuwezi mlinganisha na yyte yule kenya..
Lkn eti umaarufu basi kuna wakenya maarufu hata kuliko huyo kikaango kenu domo...

Diamond ni levels za chini sana ukitoa kiki na umbea, we huoni jamaa antumia nguvu nyingi sana lkn bado hamna lolote..

Wasanii wakubw ni hawa hapaView attachment 1721999
Hebu nieleze ni nani maarufu Kenya kumzidi Diamond!!
 
View attachment 1721997

View attachment 1721998umaarufu haipimwi uko Twitter fala wewe,huyu ni mwana mziki na ni mwamba wa EA . 4.9m subscribers and 11.8 followers. Usirudie tena kumtaja dee kwenye ufala wako . Kwanza kwenye mitandao uko tunawazidi mbali sana
Km insta ni umaarufu basi mbona viongizi mashuhuri hawaitumii kupost nayo vitu muhimu..
We unafikiria putin atapost kitu mhimu insta
 
Back
Top Bottom