Huyu rais wa Ghana ndiye anaelewa umuhimu wa kuindustrialize by adding value to cocoa and producing chocolate. Anasema wazi kwamba Ghana inapanga kuwacha kuexport cocoa to Switzerland na itaanza kuproduce chocolate wenyewe. Yaani kama tungekuwa na marais wengi wa Afrika wanaoelewa umuhimu wa kufanya value addition to our raw materials kama huyu jamaa basi tungekuwa mbali. Lakini achunge asipigwe risasi na kuuwawa. Wazungu hawapendi viongozi wa Kiafrika wanaopigania maslahi ya wananchi wao. Akina Patrice Lumumba waliangamizwa na beberu kwa kuwakaripia