babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,305
- 35,733
Only in failed state.And some rumours also turn out to be true, if you didn't know that
Only in failed state.And some rumours also turn out to be true, if you didn't know that
Kwahiyo wewe unaumia kuona Tz haitangazi maambukizi, ss kinachokuuma ni nini, kwn huku Tz kuna babaako au mamaako au ndugu yako yeyote?Sijui marelia ni ugonjwa gani ila there's something about providing data in the middle of a pandemic that you don't and won't know coz you come from Tanzania. Mngejua hilo, kirusi haingepenya hadi ikukuni na mtafute usaidizi kwetu sisi tunaotoa data na tulikuwa kwenye lokudown. They say karma is a biach!! [emoji23] [emoji23]
Hahahahaaa umeumia eehh soma vz hyo tweet utaielewa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]In the next century? I thought you've been saying here that you are at 95% now? So in the next 100 years you will be connecting just the remaining 5%? [emoji23] [emoji23]
Unadhani wivu wa kijaluo utamfanya asome tweet yote [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaaa umeumia eehh soma vz hyo tweet utaielewa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
They say truth hurts. I like how this has truth hurt you to the point you lose your cool like you've just done. Pole sana nduguKwahiyo wewe unaumia kuona Tz haitangazi maambukizi, ss kinachokuuma ni nini, kwn huku Tz kuna babaako au mamaako au ndugu yako yeyote?
Hahahahaaa niko cool at STP kabisa na ndiyo mana nakuporomoshea facts hapa.They say truth hurts. I like how this has truth hurt you to the point you lose your cool like you've just done. Pole sana ndugu
Sasa unataka tufiche nini ?? Kwamba magufuli yupo nairobi yani tudanganye kisa kukufurahisha wewe au?? Tafuta official source kua magufuli anaumwa ukipata tag me 😅😅😅😅Afadhali sisi hatufichi chochote kuhusu huu ugunjwa wala hatudanganyi wananchi kuhusu uwepo wake. Ona sasa mlivyoumbuka baada ya kukana uwepo wa kirusi hadi mkulu mwenyewe anapumulia oxygen!
Ya baba na mama yanatokea wapi basi kama hujapandwa na hasira?Hahahahaaa niko cool at STP kabisa na ndiyo mana nakuporomoshea facts hapa.
Mm hakuna mkenya anaweza kunipandisha mzuka cz nyie ni weupe sn kichwani.
Toeni maoni yenu kuhusu hili
Sasa official source kwamba a sitting president anaumwa ndio unataka wakati hata habari kuhusu uwepo wa kirusi mlikalia kitako? Are you normal? This is a president, not any other Tom, Dick or Hurry. Such information are kept as secretive as possible and are mostly handled by the Intelligence. Narudia tena, palipo na moshi hapakosi motoSasa unataka tufiche nini ?? Kwamba magufuli yupo nairobi yani tudanganye kisa kukufurahisha wewe au?? Tafuta official source kua magufuli anaumwa ukipata tag me 😅😅😅😅View attachment 1722346
Nairobi hospital imesema kwamba Magufuli hayupo huko. Ila mbona Magufuli amekataa kujitokeza hadharani?Sasa unataka tufiche nini ?? Kwamba magufuli yupo nairobi yani tudanganye kisa kukufurahisha wewe au?? Tafuta official source kua magufuli anaumwa ukipata tag me 😅😅😅😅View attachment 1722346
Iko wapi source inasema magufuli anaumwa mm nataka kuiona kutoka kwako manake mulisema yupo nairobi mukaumbuka sasa hvi mumebakia kusema anaumwa sasa leta official source kua anaumwa yani mjadala uanzishwe na tundu lisu ambae ni mpinzani alaf musema ni official source ??? 😄😄😄 kweli magufulia anawaumiza kichwa mumeacha kufanya mambo ya msingi munalia na magufuli munaakili kweliSasa official source kwamba a sitting president anaumwa ndio unataka wakati hata habari kuhusu uwepo wa kirusi mlikalia kitako? Are you normal? This is a president, not any other Tom, Dick or Hurry. Such information are kept as secretive as possible and are mostly handled by the Intelligence. Narudia tena, palipo na moshi hapakosi moto
And what is this 🤣🤣👇👇👇Nairobi hospital imesema kwamba Magufuli hayupo huko. Ila mbona Magufuli amekataa kujitokeza hadharani?
Halafu hawa BBC Africa nao wanapenda umbea sana.
View attachment 1722347
Ajitokeze hadharani ili iweje kwamba wewe na wakenya wenzio munampangia magufuli au rais nini cha kufanya mbona akiwa chato mapumzikoni miezi miwili hamuulizi yuko wapi na hua hasikiki acheni ujinga 😀😀😀Nairobi hospital imesema kwamba Magufuli hayupo huko. Ila mbona Magufuli amekataa kujitokeza hadharani?
Halafu hawa BBC Africa nao wanapenda umbea sana.
View attachment 1722347
Hii habari imezungumziwa na vyombo vingi vya habari Kote duniani ila kwa hawa najirani zetu, vyombo vya habari za Kenya zinawaharibia jina na kueneza uongo! 😂Nairobi hospital imesema kwamba Magufuli hayupo huko. Ila mbona Magufuli amekataa kujitokeza hadharani?
Halafu hawa BBC Africa nao wanapenda umbea sana.
View attachment 1722347
Kumbe watu wa usalama wapo makini hata BBC hawana taarifa kamili. Binadamu unamkimbia mwenzio kifo kama wewe utaishi mileleNairobi hospital imesema kwamba Magufuli hayupo huko. Ila mbona Magufuli amekataa kujitokeza hadharani?
Halafu hawa BBC Africa nao wanapenda umbea sana.
View attachment 1722347