Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Arabs are raping some witches in AFCON U-20.

The leadership at TFF has screwed us over for too long. Hatuna local kocha wakufundisha timu yeyete Tanzania.

Hiyo timu iko chini ya Mjinga mmoja wakuitwa Jamuhuri Kiwehlo "Julio" - the fool had never even once won a Chicken Cup!

Only Taifa Stars will soon be doing so great after the arrival of the danish coach with vast experience, Kim Poulsen. Under him, you will begin to see Taifa Stars playing an eye catching brand of attacking football.
 
Aisee nawaomba kitu kimoja humu ndani tujitahidi kidogo kuwa wastaarabu,tuko na tofauti zetu ni kweli Mimi binafsi naipenda Tanzania Sana,same kwa wabongo wote humu ndani wakenya pia vilevile Ila naona tunajisahau wakati mwingine mpaka tuna rushiana matusitujewekee limit sijui mnasema aje wadau?
Uko sahihi mkuu....Tuwe wastaarabu bhana sisi Wengine humu ni mashabiki wa huu uzi sasa matusi yanaharibu uzi bhana ....
 
Tupe neno moja kuhusu hyo picha View attachment 1708296
Awamu hii watu wa security detail ya Mr. President wako very smart. Rais ndiye anapaswa kuwa the most protected creature in the country. Ndiyo sababu hata ukimwalika nyumbani kwako watu wake watatangulia kuja kuweka vifaa vyao vikiwemo viyoyozi.

Sasa wewe unashangaa hiyo picha ina kiyoyozi kimoja! Kuna places akienda huwekewa viwili. Kwetu sisi rais ni mfalme. Nyinyi endeleeni kuiga wazungu kuwa na toothless president. Upo wakati mtakuja kujikuta kama Marekani. Nguvu pekee aliyonayo rais ni kutangaza vita zilizopangwa tayari! Akigoma anakuwa-impeached!

Sisi kuanzia awamu hii tumeamua kwenda kiafrika zaidi. Rais akiamua reli ya diesel ya mchina ipigwe chini inapigwa chini hata kama mkataba ulikwishasainiwa. Akiamua mradi wa kipuuzi wa bandari ya Bagamoyo upigwe chini unapigwa Chini hata kama ulisainiwa mbele ya Rais wa China.

Kwa kifupi ndani ya mwaka mmoja tu, bro Magu ali-nulify ziara ya XI Jiping ya 2013 ambayo ilishuhudia mabeberu wa kiasia wakipewa nchi ya Tanzania bure kabisa.

To sum up your picture in five words "That's our no nonsense president".
 
Zitarudi kupitia toll fees.
Sasa huo ndiyo upuuzi bro Magu hautaki. In such a rich continent unalipiaje kupita barabarani au kuvuka daraja! Hata ile Kigamboni bridge ni kwa kuwa tu ilijengwa enzi zile tuna vacuum kwenye nafasi fulani. Otherwise sisi hatupaswi kuishi maisha tight kama ya wazungu ambao kuna nchi zina zero resources apart from HR.
 
Miradi yote lazima ilipiwe na wananchi Kwa njia moja au nyingine...au tz hawalipi kodi...ama hawelewi hata kodi ni nini....kwa sababu kizungu huwapiga Chenga hawa jirani aisee...hupitwa na mengi saana
Tunajua kila kitu hulipwa na wananchi ila issue ni namna sahihi ya kulipia. Huo mfumo wenu wa kulipia baada ya ujenzi hufanya wananchi kulipa pesa zaidi na kwa muda mrefu zaidi.

Hapo kuna ongezeko la gharama za usimamizi wa mradi baada ya ujenzi. Mfano; pale Nyerere bridge kigamboni kuna gharama kubwa tu ya "kuendesha" daraja na kukusanya hayo mapato. In contrast, pale Salender (Tanzanite bridge) na Kigongo Busisi kwa mfano, wakandarasi wakimaliza kazi zao wanasepa wananchi wanaanza kupita na kupiga picha bure. Daraja halihitaji ulinzi!

Kuna issue ya interest pia. Kwa kuwa ada haziwezi kuwekwa kubwa sana na miundombinu iligharimu pesa nyingi, hapo mnapigwa zaidi na mabeperi. Muda wa kuendesha miundombinu husika unakuwa mrefu sana na interest accumulated nayo inakuwa kubwa pia. Unlike sisi tunaojenga "kwa pesa zetu wenyewe" - in Magu tone.

Kwa kifupi mtapigwa kila upande! Mpaka mje mshtuke mna madeni yasiyolipika kama Ethiopia na Zambia. By that time, we are way too high for you to catch us.
 
Hivi una habari mpaka mwaka wa 3 wa utawala wa jpm alikuwa analipa madeni ya makandarasi wa kikwete.

Shirika la ndege lilikufa kipindi cha kikwete.
Shirika la reli lilikufa kipindi cha kikwete.
Shirika la meli lilikufa kipindi cha kikwete.
Alianzisha wilaya na mikoa isiyokuwa na ofisi, JPM ndio anajenga ofisi za mikoa na wilaya + hospitali za mikoa na wilaya.

Those are just few to mention.
Hawezi kukuelewa huyo, keshamwagiwa ugali wake na Magu huyo
 
Sisi tunakopa kwaajili ya development projects wengine wanakopa wanunue chanjo zinazotibu virusi vinavyoenda kuwa outdated! Kwa hivyo kila version mpya ya corona virus ikipatiwa chanjo yake watakuwa wakikopa tena siyo? Wanakopa kwa ajili ya kufanyia ujinga na pesa inarudi tena kwa mkopeshaji, wao wanabaki na deni. Poor Kenyans.
 
Ipi hiyo iliyofunika,mbona huitaji ? unabwabwaja tuu.2015 tayari Wajapan walikuwa site Tazara na Ubungo,Wakorea walikuwa kwenye mobilization ya salander bridge na pesa zilikuwepo alizo mobilize JK

Tumiradi tembo mweupe twa Magu ni stori na kujisifia bila ku deliver,huyu alishadhibiti freedom of press and opposition ili wasifukue madudu ila bado ni mtu wa kulia lia since day one..tuonesheni reli basi.

Miaka 10 ya JK aliifungua nchi kwa barabara za lami sasa miaka 5 ya Magu hadi leo hii kigoma na kanda ya magharibi ni kuogelea kwenye matope tuu,imagine eti ndani ya 5yrs wamejenga less than 4500km of paved afu ndio wana jimwambafy,hadi Mkapa alianza kumchana huyo mtu wanu.
Kwamba Suitomo Mitsui walianza ujenzi Tazara 2015! Na kwamba Ubungo imeanza kujengwa 2015! Anyway bando la kwako uko huru kuandika unachotaka. Ila ni aibu ujue. Unatufanya watz wote kuonekana tuna shida. Kama hujui kwa nini usiulize? Mkuu umeshindwa hata kwenda youtube uangalie mikataba ya ujenzi ilifanyika lini?

Ngoja nipunguze kidogo aibu unayotuletea hapa. Kuhusu Ubungo fly over ni kwamba Pre-feasibility study ilifanywa enzi za JK kwa tune ya shilingi bilioni moja na ushee hivi ambazo "zilifadhiliwa" na serikali ya Egypt. Nilisoma hiyo report ambayo ilijikita kwenye Environmental Impact Assessment (EIA). Hata zile design zilizofeli na kupigwa chini zilifanywa wakati wa huyo rais wako ambaye hata ka-EIA report alihitaji tufadhiliwe na Egypt. Ujenzi mjomba umeanza 2017.

Kuhusu Tazara Flyover, nimeamua kukupuuza.
 
Wewe nyumbu ufahamu kwamba hiyo kai alitumwa na boss wake marehemu.Subiri atoke utaona matusi atakayooga na wapambe njaa mnajifanya watetezi wake hamtakenua tena maana mtakuwa sio wanufaika ila saizi ni zamu yenu tambeni
Tumegundua njama za mabeberu akitoka. Hatutaki atoke. Panapo uhai tutampa tena nchi mpaka 2030. Kupitia issue ya corona tumegundua kumbe viongozi shupavu si wengi kama tunavyodhani. Tunataka anapotoka awe ametandika miundombinu yote ya msingi ili hata akifuata mwepesi kama yule Vasco Da Gama isiwe issue sana.
 
Tatizo la Mkwere ni kupenda sifa sana.
Kuna ile slogan yake kwamba nchi za africa haziwezi bila misaada. Nilikuwa siupendi huu basi tu.
Miradi aliyofanya Magufuli for 5yrs pamoja na kwamba haijakamilika mingine but ishafunika ile aliyofanya kikwete for 10yrs.
Hawezi furahia hilo plus tax makusanyo yamedouble.
Kwa wastaafu pekee walio hai Magu anaweza wasikiliza ni Mwinyi na Pinda.
Mkuu kuna bitter truth umeiongea hapo. Ukiwasikiliza wastaafu wengi (ukitoa Pinda na Mwinyi) unaweza dhani tayari Tz ni nchi iliyoendelea. Ukimsikiliza Warioba unaweza dhani akiwa PM nchi ilipaa sana kimaendeleo. Huyo "mchumi" Vasco Da Gama ndiyo kabisa haishiwi mipasho. Kuna wakati huwa nadhani wanazo defn za kwao wenyewe za maendeleo.

Mzee Mwinyi alikuwa very honest siku ile Mkapa anazindua kitabu chake. Kwamba aliyofanya Magu (kimaendeleo) ni makubwa kuliko waliyofanya wao "wote" kuanzia "wa kwanza".
 
Kenya is punching above its weight. Are you aware that the revenue that GOK gets from Mombasa port is equal to the revenue Nigerian government gets from all the ports in Nigeria. Remember Nigerian population is 5 times that of Kenya.
Nigeria nao ni failed state kama nyinyi. Halali yenu kujifananisha nao.
 
Back
Top Bottom