mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,086
- 39,573
mbona ni kama unamaumivu hivi lakini hutaki tujue[emoji16][emoji16][emoji16].Yaani hata time frame hamna...mradi unastahili ujulikane unaanza lini na utaisha lini ...lakini hapa ni kubahatisha tu....
Halafu bus station ndio inamaana ganai ikawa na kuta kuuuubwa kibonzo bonzo yaani kufanya mabo pasipo na hekima balaa
ungeshuhudia tunaanza kuchimba ili kujenga vituo vya mwendokasi, si ungezimia kwa kushangaa hiyo zege!!!!