Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,759
Mwezi ujao mkandarasi wa tenda ya Ruhudji HEP anatangazwa pia!Huwa unamchulia serious hiyo takataka?
Halafu naye huwa anajiita mchumi!
Labda mchumi anayeendeshwa na chuki na wivu![]()
Mwezi ujao mkandarasi wa tenda ya Ruhudji HEP anatangazwa pia!Huwa unamchulia serious hiyo takataka?
Halafu naye huwa anajiita mchumi!
Labda mchumi anayeendeshwa na chuki na wivu![]()
Naona ndio maana waziri wa nishati anakomaa sana na bwawa la Nyerere mkandarasi achape kazi usiku na mchana na aongeze man power ili kazi iishe haraka.Hawezi jua kwanini JPM amewekeza kwenye umeme namna hii kama najua chemistry coating inahusu mambo ya electrolysis na hutumia umeme mwingi!
Unauchungu sana, not good for your wealthHuwa unamchulia serious hiyo takataka?
Halafu naye huwa anajiita mchumi!
Labda mchumi anayeendeshwa na chuki na wivu![]()
Safi sana.Mwezi ujao mkandarasi wa tenda ya Ruhudji HEP anatangazwa pia!



Takataka ambazo hazichambiii haziwezi nipa machungu.Unauchungu sana, not good for your wealth
pipeline ya Lamu ipo wapi!?Tuta tuta tuta.
Aisee hicho kiwanda cha coating pipelines kitakuwa wapi? naona kama vile Tanga! Ni investment kubwa sana! The plant will be the first in East and central Africa!
Tony254
View attachment 1709232
![]()
Apart from pipeline construction Kuna pipes coating plant na chongoleani dispatch depot 🚧👷🇹🇿🇹🇿🇹🇿
huyo amebadiri ID ile ya kwanza baada ya kupuuzwa mpaka na aliohisi watamuunga mkono(wakenya).Cha ajabu ni kwamba anaogopa nn kuja na ID ya kwanza au sindano zimemuingia anaona haya jinc nchi inavyojengwa, mana hawa si anti-Magu![]()
why not kwa mwenendo mlionao wa kukopakopa kila mahala na 59% of Kenya's budget kuenda kwenye kulipa loans sioni kwann tusiwafikie! Hamna good roadmap! Hii pipeline ita-reorient uchumi wa Uganda and give more freedom to them, believe me hata cargo itakuja Tanga na free movement ipo already simplified Uganda airlines na Air Tanzania zitarahisisha wafanyabiashara kuja Tanga! Jua South Sudan and DRC r likely to link up to Total pipeline aside chances of Tanzania discovering her own oil! Mind u we r both in low middle income level though u have been there for over 8 years we r already in 3rd phase of SGR though we started way behind Kenya! JPM is not a joke is even expanding Tanga airport aside Tanga port.Kwa maoni yako unaona kama baada ya pipeline kuisha, TZ mnaweza kutufikia kiuchumi?
CC Geza Ulole
Mbona msimkimbishe mkandarasi wa SGR? Mbona mnamuwacha Mturuki awachezee kama watoto?Naona ndio maana waziri wa nishati anakomaa sana na bwawa la Nyerere mkandarasi achape kazi usiku na mchana na aongeze man power ili kazi iishe haraka.
Nasikia November wana anza kujaza maji kwenye bwawa, hadi April next year watakuwa wamemaliza kazi ya kulijaza maji.
Hii chuki na hasira yote ni ya nini? Mke wako amekunyima papuchi?Huwa unamchulia serious hiyo takataka?
Halafu naye huwa anajiita mchumi!
Labda mchumi anayeendeshwa na chuki na wivu![]()
Been a busy sporting weekend for team Kenia 🏈⚽️🏀
SHUJAA!!!!
View attachment 1709392
MORANS
View attachment 1709383
LIONESSES!!!
View attachment 1709399
View attachment 1709400
Kogalo
Sio chuki ni ukweli tu nimeandika.Hii chuki na hasira yote ni ya nini? Mke wako amekunyima papuchi?
Yeah but ‘‘twas just an invitational tournament, not part of the HSBC sevens series circuit.Yaani tulifika cup finals in Madrid 7s? I am a die-hard rugby fan lakini this weekend I was busy I was not able to watch it. This is great news.
Halafu eti wanajenga reli ya kutumia umeme, Ethiopia wameshindwa ije iwe Tz, malazy full kukurupuka.daah mi sijui hayo mkuu inawezekana huu mradi ulishuka kutoka mbinguni aisee yaani hata hsuna time plsn haujulikani umeanza lini wala haujulikani itaisha lini duuj,,,kumbe kuna liukuta kubwaa,,,daah kweli Tz ni miyeyusho yaani huea sielewi kabisa hayo mambo
I agree that if all your projects are completed then there is a possibility of Tanzania becoming the economic powerhouse of this region.why not kwa mwenendo mlionao wa kukopakopa kila mahala na 59% of Kenya's budget kuenda kwenye kulipa loans sioni kwann tusiwafikie! Hamna good roadmap! Hii pipeline ita-reorient uchumi wa Uganda and give more freedom to them, believe me hata cargo itakuja Tanga na free movement ipo already simplified Uganda airlines na Air Tanzania zitarahisisha wafanyabiashara kuja Tanga! Jua South Sudan and DRC r likely to link up to Total pipeline aside chances of Tanzania discovering her own oil! Mind u we r both in low middle income level though u have been there for over 8 years we r already in 3rd phase of SGR though we started way behind Kenya! JPM is not a joke is even expanding Tanga airport aside Tanga port.
South Sudan is next, mind u Total has oil firlds in Juba!
![]()
OkayYeah but ‘‘twas just an invitational tournament, not part of the HSBC sevens series circuit.
Kwani kuna kelele gani saa hizi?JK alijenga hii interchange lakini hatukuwahi sikia makelele kama saizi