Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,758
Today ume-argue kiuchumi!I agree that if all your projects are completed then there is a possibility of Tanzania becoming the economic powerhouse of this region.
Today ume-argue kiuchumi!I agree that if all your projects are completed then there is a possibility of Tanzania becoming the economic powerhouse of this region.
Kwamba mimi ni takataka?Sio chuki ni ukweli tu nimeandika.
Ndo unajua leo?Kwamba mimi ni takataka?
That Tanga kuna mega cement companies zina-invest over $7 bln worthy of Industries walikuwa wanangojea huu mradi na pia kuna wale walinunua ARM cement plant n Maweni Limestone Ltd!I agree that if all your projects are completed then there is a possibility of Tanzania becoming the economic powerhouse of this region.
Hivi una habari mpaka mwaka wa 3 wa utawala wa jpm alikuwa analipa madeni ya makandarasi wa kikwete.Ipi hiyo iliyofunika,mbona huitaji ? unabwabwaja tuu.2015 tayari Wajapan walikuwa site Tazara na Ubungo,Wakorea walikuwa kwenye mobilization ya salander bridge na pesa zilikuwepo alizo mobilize JK
Tumiradi tembo mweupe twa Magu ni stori na kujisifia bila ku deliver,huyu alishadhibiti freedom of press and opposition ili wasifukue madudu ila bado ni mtu wa kulia lia since day one..tuonesheni reli basi.
Miaka 10 ya JK aliifungua nchi kwa barabara za lami sasa miaka 5 ya Magu hadi leo hii kigoma na kanda ya magharibi ni kuogelea kwenye matope tuu,imagine eti ndani ya 5yrs wamejenga less than 4500km of paved afu ndio wana jimwambafy,hadi Mkapa alianza kumchana huyo mtu wanu.
Tunawapa hongera sana mko vizuri nimeona game zenu Sana pale impala grounds ngong road🙂Yaani tulifika cup finals in Madrid 7s? I am a die-hard rugby fan lakini this weekend I was busy I was not able to watch it. This is great news.
Aisee hicho kiwanda cha coating pipelines kitakuwa wapi? naona kama vile Tanga! Ni investment kubwa sana! The plant will be the first in East and central Africa!
Tony254
View attachment 1709232
![]()
Tulia basi😁😁😁Ugly?...kama wakunya au!
Nani anajali?
Malaya ni mamaqo burukenge.
Msamehe msela tusameheane😁😁😁Tulia basi😁😁😁
Anaanzishaje ugomvi wakati anaishi kwenye nyumba ya vioo!Tulia basi![]()



Hivi una habari mpaka mwaka wa 3 wa utawala wa jpm alikuwa analipa madeni ya makandarasi wa kikwete.
Shirika la ndege lilikufa kipindi cha kikwete.
Shirika la reli lilikufa kipindi cha kikwete.
Shirika la meli lilikufa kipindi cha kikwete.
Alianzisha wilaya na mikoa isiyokuwa na ofisi, JPM ndio anajenga ofisi za mikoa na wilaya + hospitali za mikoa na wilaya.
Those are just few to mention.
Mwanaume anapambana na sio kutukana halafu unakimbiaulichofanya ndo umalaya wenyewe.. mwanaume hasusag wala hablock watu



Hahaha, huyo Mzungu anaonekana akipata tu kwishneyTime ya kujidanganya uliisha, saa watu wanavaa barakoa mbili mbili at the same time hili wasipatwe na Corona. Saa hii watu wanaogopa Tanzania kama dawa.
View attachment 1709465

😃😃😃😃😃TobaaAnaanzishaje ugomvi wakati anaishi kwenye nyumba ya vioo!
Kakimbia kuni block & ignore na aki ni unblock atakutana na tusi pro kwanini katoa block
Ni takataka ndio...kwani ni uongo? Hapo alipo anatembea na uchafu kwenye trakoo juu hawana utaratibu wa kujisafisha.
Ndo Mpira ulivo 🙂ni Jambo la kawaida Sana hata timu kubwa huaga zinafungwa🙂Arabs are raping some witches in AFCON U-20.
![]()
mshikaji unaweza kunyamaza? Acha kujiaibisha tunapoteza very skilled personel kwa kudharau vitu simple kama kuchukua tahadhari na kujikinga! Ma-professor, ma-lawyer na ma-engineer waliosomeshwa kwa gharamakubwa na serikali wanapukutika!Hahaha, huyo Mzungu anaonekana akipata tu kwishney![]()
Hahaha, huyo Mzungu anaonekana akipata tu kwishney![]()