Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunajua kila kitu hulipwa na wananchi ila issue ni namna sahihi ya kulipia. Huo mfumo wenu wa kulipia baada ya ujenzi hufanya wananchi kulipa pesa zaidi na kwa muda mrefu zaidi.

Hapo kuna ongezeko la gharama za usimamizi wa mradi baada ya ujenzi. Mfano; pale Nyerere bridge kigamboni kuna gharama kubwa tu ya "kuendesha" daraja na kukusanya hayo mapato. In contrast, pale Salender (Tanzanite bridge) na Kigongo Busisi kwa mfano, wakandarasi wakimaliza kazi zao wanasepa wananchi wanaanza kupita na kupiga picha bure. Daraja halihitaji ulinzi!

Kuna issue ya interest pia. Kwa kuwa ada haziwezi kuwekwa kubwa sana na miundombinu iligharimu pesa nyingi, hapo mnapigwa zaidi na mabeperi. Muda wa kuendesha miundombinu husika unakuwa mrefu sana na interest accumulated nayo inakuwa kubwa pia. Unlike sisi tunaojenga "kwa pesa zetu wenyewe" - in Magu tone.

Kwa kifupi mtapigwa kila upande! Mpaka mje mshtuke mna madeni yasiyolipika kama Ethiopia na Zambia. By that time, we are way too high for you to catch us.
Unachosema sio mbali na ukweli....Ila kuna jambo mnaoaswa kujua... Kenya ni NCI tajiri hapa Africa mashariki na huwa tuna kufanya ushuru mkubwa sana bila msaada zaidi ya tz,ug,na Rwanda combined..shida yetu ni moja: Ufujaji wa pesa kwetu uko juu zaidi...Kwa hivyo tuliona ni heri Tu kope na tufanye miradi..maana ni rahisi hivi kuzuia uporaji ea mali ya umma. Kwetu bila hivi ni ngumu maana wanao pora pia hawalali..Ni heri tulipe hela kiasi kama interest..kuliko kupoteza mara tatu ya hiyo through corruption....Na mtindo huu utatuinua hadi 1st world hivi karibuni... watch this space my bro
 
You are the silliest Kenyan on here, you are very stupid. Have you attended school at all?

What a pumpkin-head!
 
Well said mkuu. Ila hawa viongozi wastaafu wawe na discipline japo kidogo. Najua wa hatred kwa Magu lakini waache tujikauli twa kubeza serikali ya sasa. Namuheshimu sana Prof. Mark Mwandosya lakini ukiangalia namna ambavyo huwa anai-adress Air Tanzania kwa mfano kwenye page yake ya twitter. Ukakumbuka pia Air Tanzania ilifanywa nini yeye akiwa waziri wa mawasiliano na uchukuzi, unabaki kusikitika. Kagasheki ndiyo hakuna hata haja ya kumzungumzia.

Viongozi wastaafu wasipende sana kuonesha Magu yuko wrong in public wakati yeye mara zote anajishusha sana kwao. Wanaweza kujimwambafai kwa kuvaa barakoa in public (ambayo ni haki yao) lakini wasipuuze Magu anaposema "mimi ni rais najua mengi".

Sweden wamepiga marufuku uvaaji wa barakoa with health minister Lena Hallengren akisema "the evidence supporting the wearing of face coverings is astonishingly weak"

"The Swedish public health agency has consistently stated that masks are ineffective and that their use could actually increase the spread of Covid-19 "

MAGUFULI is such a visionary leader.

Watu niliotaja humo, wanaratibu mambo mengi mno mtandaoni na Kikwete ndio mfano bora wa uongozi na kiongozi, wakitumia quotes zake nyingi.

Mimi nipo twitter as "@KipepeComrade" na ninapata info from various sources za kuaminika ambazo siwezi taja.

Kikwete anaongea mengi ya ujinga, akidai kwenye maazishi ya Mkapa kuwa, "Uchumi wa kati lilikua wazo la Mkapa" okay vyema, nani lakini, ni nani alituvusha huko?

Alienda mbali na kudai eti, "Mkapa alikua kiongozi bora na hakutaka kusifiwa"

Kwa umri wa Mwandosya, Khagasheki kukesha mitandaoni na kuretweet posts za kijinga za kina Maria Sarungi, Fatuma Karume ni utopolo wa hali ya juu sana. Group hili, na matendo ya Kikwete yanafanana sana.

Wote wapo against na serikali hii, ila kila mtu na style yake ya uchafuzi.

Kikwete's presidency was a waste of time.

Kikwete and his group of thugs led by Lowassa denied Tanzanians one of the greatest presidents we never had: Dr Salim Ahmed Salim. Mmbwa hao, 2005 ndani ya CCM walimchafua sana huyo baba na kumuhusisha na kikundi cha uhalifu huko Zanzibar.

Ujinga ujinga, unafki, ushakunaku, umbea - Kikwete hajaanza jana.

Akome na alegee.
 
Hizi ndio kitu akili yangu inapenda kusikia. Ila naishangia serikali kuzitilia shaka barakoa kutoka nje ya nchi halafu haizipigi marufuku. Kuna sehemu bado tunakwama kwenye national security. Kama tunazo facility za kuzalisha barakoa why not ban those imported compromised "weapons"? We need to do more.

Angalia andiko langu kuhusu Sweden kupiga stop barakoa, moja ya sababu ni possibility ya kuongeza maambukizi.

Kuna magroup ya ndani na nje yanayofanya jitihada usiku na mchana kumkwamisha Magu na hili la uvaaji barakoa ni hatari, zitengenezwe hapa or imported.

Watu wanataka kuzicontaminate hizi ili hospitals zijae, halafu mkakati wa kulazimisha lockdown uanze. Believe me, a month with a lockdown hatutaweza tena hata mradi wa $300M.

Ndio agenda baada ya kufail kumtoa madarakani Magu through youth uprising and chaos.
 
Sweden wamepiga marufuku uvaaji wa barakoa with health minister Lena Hallengren akisema "the evidence supporting the wearing of face coverings is astonishingly weak"

"The Swedish public health agency has consistently stated that masks are ineffective and that their use could actually increase the spread of Covid-19 "

MAGUFULI is such a visionary leader.

Watu niliotaja humo, wanaratibu mambo mengi mno mtandaoni na Kikwete ndio mfano bora wa uongozi na kiongozi, wakitumia quotes zake nyingi.

Mimi nipo twitter as "@KipepeComrade" na ninapata info from various sources za kuaminika ambazo siwezi taja.

Kikwete anaongea mengi ya ujinga, akidai kwenye maazishi ya Mkapa kuwa, "Uchumi wa kati lilikua wazo la Mkapa" okay vyema, nani lakini, ni nani alituvusha huko?

Alienda mbali na kudai eti, "Mkapa alikua kiongozi bora na hakutaka kusifiwa"

Kwa umri wa Mwandosya, Khagasheki kukesha mitandaoni na kuretweet posts za kijinga za kina Maria Sarungi, Fatuma Karume ni utopolo wa hali ya juu sana. Group hili, na matendo ya Kikwete yanafanana sana.

Wote wapo against na serikali hii, ila kila mtu na style yake ya uchafuzi.

Kikwete's presidency was a waste of time.

Kikwete and his group of thugs led by Lowassa denied Tanzanians one of the greatest presidents we never had: Dr Salim Ahmed Salim. Mmbwa hao, 2005 ndani ya CCM walimchafua sana huyo baba na kumuhusisha na kikundi cha uhalifu huko Zanzibar.

Ujinga ujinga, unafki, ushakunaku, umbea - Kikwete hajaanza jana.

Akome na alegee.
Sweden has one of the highest death rates per capita in the world. Sweden is a failure when it comes to combating Covid 19. Huwezi kuitumia kama example. Hata Tanzania mna very high death rate ila mumekataa kuhesabu wafu tu kwa kisingizio kwamba corona haipo Tanzania.
 
kwa lugha ya kisasa tunaita ukunguni au uchawa.

huwa sioni sababu ya kiongozi mstaafu mwenye access ya mawasiliano na rais, tena akihitaji kuonana na rais ni simu moja, kuanza kutumia mitandao kufikisha ujumbe.
kuna unafiki mkubwa sana unajificha nyuma ya haya mambo.

hao waliokuwa viongozi,pamoja na waliokuwa waandamizi wao ambao nao wana ndugu na jamaa zao, wanapitia kipindi kigumu sana wakati huu, ndio maana tunashuhudia kuzuka makundi mbali mbali ya wanaharakati maandazi, kuponda na kusiliba kila kitu.

mtu anaponda mpaka anasahau anaharibu.
 
Sweden has one of the highest death rates per capita in the world. Sweden is a failure when it comes to combating Covid 19. Huwezi kuitumia kama example. Hata Tanzania mna very high death rate ila mumekataa kuhesabu wafu tu kwa kisingizio kwamba corona haipo Tanzania.

nikisema una ujinga wa kuzaliwa nawakosea adabu wazazi wako.

tuna a VERY HIGH DEATH RATE, ila tumegoma kuhesabu, wewe hiyo takwimu umeipata wapi wakati wenyewe hatujahesabu!!!! unahesabia wapi???
 
Na hujakosea hapo Mbezi ilipo hii stand ya kifahari maisha ya watu ni hovyo tuu,ndio maana hata bunge la chama kimoja limeanza kuwashtukia kwamba wanatumia pesa za walipakodi kwa vitu vya kijinga visivyo na faida kama haya mastendi,wamejenga nchi nzima eti ni maendeleo.

Ukimwambia mtu alete justification ya namna mabilioni ya hii kiradi ya kijinga inavyochangia ustawi wa watu hakuna cha maana atasema zaidi ya blaa blaa
Tony254 unaona huyu mbuzi ona anakuambia tumejenga bus stand nchi nzima lkn maisha ya wananchi ni mabovu, hv wewe km mchumi unadhani kipi bora kuwapa raia pesa mkononi au kuimalisha miundombinu zen pesa wajitafutie wenyewe? Je kwa reasoning style kama hii mnatuchukuliaje Watz, mnadhani wote tupo hivi? Hapana mkuu hao ndiyo Watz aliotuachia JK a.k.a malazy ndo hao
 
Dah,huyu mturuki ananipa hasira,japo kazi yake ni nzuri.
JPM jana ametuma waziri wa nishati nadhani jina lake Medard Kalemani aende kumpa pressure mkandarasi wa Julius Nyerere hydropower kukamilisha mradi haraka lakini amemuwachilia tu mkandarasi wa SGR alale usingizi anavyotaka.
 
Tony254 unaona huyu mbuzi ona anakuambia tumejenga bus stand nchi nzima lkn maisha ya wananchi ni mabovu, hv wewe km mchumi unadhani kipi bora kuwapa raia pesa mkononi au kuimalisha miundombinu zen pesa wajitafutie wenyewe? Je kwa reasoning style kama hii mnatuchukuliaje Watz, mnadhani wote tupo hivi? Hapana mkuu hao ndiyo Watz aliotuachia JK a.k.a malazy ndo hao
Miundombinu siku zote ndio chanzo cha ustawi wa uchumi. Hizo bus stand kitu cha kwanza zitapunguza msongamano wa magari mjini maana utakuta kwamba zamani mabasi yalikuwa na mazoea ya kupark kando kando mwa barabara hivi kupunguza nafasi ya magari mengine kupita. Halafu pia mabasi kupark ndani ya mji kunaleta msongamano ndani ya mji au hata ajali mjini maana yanaendeshwa kijeuri. Hii bus stand nadhani ipo nje kidogo mwa CBD kwa hivyo itahamisha msongamano hadi huko nje ya CBD. CBD haistahili kuwa na stage ya mabasi au daladala. Hata Kenya tuna mpango huo wa kuhamisha stage ya daladala kutoka CBD hadi nje nje mwa mji.
 
Bonge la deal kwa tanesco, huu mradi peripheral economic effects zake zimefavor sana Tanzania kuliko Uganda

Coating plant ya 1,444 kilometers pipeline sio kitu kidogo, umeme mwingi utahitajika hapo
Ulisema humu mapema mwaka jana na wakakubishia
 
Sweden has one of the highest death rates per capita in the world. Sweden is a failure when it comes to combating Covid 19. Huwezi kuitumia kama example. Hata Tanzania mna very high death rate ila mumekataa kuhesabu wafu tu kwa kisingizio kwamba corona haipo Tanzania.

Sio kila kitu ni league "you versus whoever" - NO, read between the lines. Nilichotaka kuhainisha ni kuwa, public health agency ya Sweden wanasema hakuna ushahidi kuwa kuvaa barakoa kunasaidia kutoambukizwa Corona - jambo Magufuli alisema kitambo.

Pili, Tanzania has no official data of Corona victims, any suggestion from any source or individual is a mere speculation.

Don't assume, get hold of facts then speak out.
 
Sawa mkuu, hamna corona. Wacha yaishe.
 
Back
Top Bottom