Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
Hivi unajua Kenya ina ingia mara 3 kwa Tanzania 🙂ina maana mikoa yetu ni mikubwa na zipo nyingi tu🙂kingine sio kila mtu anapenda kutumia usafiri wa angani kama Mimi hapa kama safari sio ya dharura natumiaga basi🙂mabasi yana umuhimu sana kwetu🙂na ndio usafiri mkubwa sio Tanzania tu hata kwenu huko sema unataka kuzua hoja🙂je unajua kuna watalii wengi wanatumiaga mabasi yetu🙂Ku connect nchi za south afrika.Yaani hata time frame hamna...mradi unastahili ujulikane unaanza lini na utaisha lini ...lakini hapa ni kubahatisha tu....
Halafu bus station ndio inamaana ganai ikawa na kuta kuuuubwa kibonzo bonzo yaani kufanya mabo pasipo na hekima balaa
Point ya mwisho ardhi tunayo we can do whatever we want🙂