The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,537
Kwnn wasingeiita vile vile tu Mbezi bus terminal?
Kwnn wasingeiita vile vile tu Mbezi bus terminal?
Reli?washatandika reli ( upande wa kutokea mpka round about ya goba), Bado upande wa kuingilia
Inatumia umeme unahitaji plug point at home and at work too! And the car comes with plugging infrastructure! kama hamjui mambo mnyamazeitakuwa inatumia chang'aa
Kabla ya Nairobi Terminus kushindana na The mighty Tanzanite sgr station wanatakiwa wapambane na hii kwnz.Any quotes from Kenyan?View attachment 1706315


Yani tunaendelea kuvunja rekodi zetu wenyewe kila uchwao, the best stations in Africa nowadays are found in Tanzania whether you like it or not 


Ila kama naona ranking oder zipoKabla ya Nairobi Terminus kushindana na The mighty Tanzanite sgr station wanatakiwa wapambane na hii kwnz.
Yani tunaendelea kuvunja rekodi zetu wenyewe kila uchwao, the best stations in Africa nowadays are found in Tanzania whether you like it or not
![]()
umesahau dodoma sgr stationIla kama naona ranking oder zipo
- Mbezi Luis Bus Station
- Dar electrical SGR Terminal
- Dodoma Bus Station
- Nairobi diesel SGR Terminus
Soon...
CC: Tony254
- Mbezi Luis Bus Station
- Dar electrical SGR Terminal
- Dodoma Bus Station
- Mwanza Bus Station
- Nairobi diesel SGR Terminus
Najua wataleta zogo maana bado haijaanza kuchomoka rasmi!umesahau dodoma sgr station
Kuingilia ndio inakua wapwashatandika reli ( upande wa kutokea mpka round about ya goba), Bado upande wa kuingilia
Indeed a Street Hawker reasoning, umejilaani kwa jinaSasa kuna utofauti hupi kati ya Kenya na Uganda? Ukitoa mji mkuu wa Nairobi na Kampala ambao ni kweli Kampala bado lkn hio haiondoi ukweli halisi ya kwamba Uganda iko mbele ya Kenya tukiangalia inclusive economy idea.
Waganda huwa hawana njaa kama ambavyo Wakenya wako, na kama tutaangalia miji ukitoa Kampala na Nairobi au tutoe na Mombasa, inabaki kuwa Kenya na Uganda hazina utofauti mkubwa wa kimaendeleo japouwa linapokuja suala la uchumi wa mtu mmoja mmoja Uganda wapo mbali ya Kenya.







Reactions from Tz kwa sababu ya shida na matatizo kutokana na utawala wa CCM,


wewe pinga haya kwa kuweka facts ya kukanusha., Pambana na hali yenyu




Tofauti na Dar iko wapi?, 80% ya Dar ni nini? Nikikuambia Mombasa na Dar ni sambamba unalialia ukitetea mji ushuzi


unajikaranga na mafuta yako nwenyewe kama ngurue tu





If I go that road in Dar mtaambia mods wani ban humu, mko ovyo yaani aibu yenye haifichiki hata kwa mgeni Dar mara ya kwanzaNgoja tuzoom tuone ule ushuzi tunaozungumzia hapa kila siku
Are we together now dirisha la mtu choo cha mwengineView attachment 1706101View attachment 1706102View attachment 1706103





Dar is slum kote kote., in short, technically in Tanzania hakuna standard city kamwe., ni ka squeezed developed area in the CBD na BRT tu ndio zinaficha aibu ya Tanzania 



We hujakutana na wakenya wa kawaida wale wa mitaani, kijana mdogo lkn kwao ami na halati zake nyumbani wanamuita babaUmeshakula?View attachment 1706318
Umepanic tayarisisi tutaondoa na mwanza, kahama na mapaka mbeya na tanga, na bado nyinyi mtakuwa mbuzi tu.
Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app



Unajua maana ya old town?Mumeona ushuzi sasa siniliwaambia mmhaya angalia mananda hayo utacheka sana yani unaeza sema kuna bomu limepitaView attachment 1706105View attachment 1706106View attachment 1706107




lishamba lya Dar

, mji ulijengwa kabla ya babu ya mababu zako na Vasco Da Gama..,na tume preserve huo muundo, Kiswahili mingi ni laana kweli 



Mombasa is Dar n Dar is Mombasa period, lakini Mombasa iko nafuu kidogo kwa Dar


.,unaumwa akili wewe.Unajua maana ya old town?lishamba lya Dar
, mji ulijengwa kabla ya babu ya mababu zako na Vasco Da Gama..,na tume preserve huo muundo, Kiswahili mingi ni laana kweli
Mombasa is Dar n Dar is Mombasa period, lakini Mombasa iko nafuu kidogo kwa Dar
.,
Umeona sasa ulivyokurupukawhat's amico? fool! it is "ciertamente amigo"!

