Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ulitakaje sasa huyu ni raia namba moja wa Jamuhuri ya Watanzania.Wakenya mnawashwashwa sana na huyu mzee wa watu.Kwani kawafanyaje?!,sisi ndo tunaotakiwa kuongoza Afrika Mashariki iko wazi!! "Don't Hate Me Hate the Game" Tumeamua kuwatoa hapo juu kwa strategies ona mnavyong'oka tena mkitazama kwa uchungu mkubwa.Na ukiwa na roho mbaya ndg yangu maumivu huwa maradufu.Bomba la mafuta hiloo, that's the best move ever.Halafu unamskia mtu anaongelea Toll road ambayo makusanyo pia si yao, inasikitisha sana.
Tupe neno moja kuhusu hyo picha
EulKLhHWgAEcIif.jpeg.jpg
 
ndiyo mmetushinda kila kitu,,,,,

ila kinachonifurahisha bado mpo hapa mnapiga makelele wakati mmetushinda kwa kila kitu...

what's wrong broda....?..umewahi ona wapi tajiri akipoteza mda mwingi kubishana na maskini...?

tungekuwa sisi WaTz tusingeneng'eneka wakati tunaushindi
Heshimuni ndungu zenu matajiri basi
 
Sasa usichoelewa hapo ni nini? hiyo road ni mkopo na watalipa wananchi, kwa tafsiri nyingine ni kwamba GoK haina uwezo wa kulipa yenyewe km yenyewe imewapa wananchi walipe kwa mwamvuli wa ppp.
Miradi yote lazima ilipiwe na wananchi Kwa njia moja au nyingine...au tz hawalipi kodi...ama hawelewi hata kodi ni nini....kwa sababu kizungu huwapiga Chenga hawa jirani aisee...hupitwa na mengi saana
 
Sasa we linganisha hapo na huku kwenu alafu hapo ni wapi dar? Maana hizi picha ni mathare,Soweto,mukuru,na korogocho👇👇👇👇 👇👇👇🙂
Yaani na uchafu huu wote Bado kenya. imaishinda tz zaidi....just imagine
 
Back
Top Bottom