Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikizurura mitaa ya mwanza, First time nimekuja Kanda ya Ziwa. In General , Chato bado padogo lakini Pako vizuri na panaenda kuwa Pazuri sana.

Nimekaa muda mwingi Barabara ya Geita , Ambayo pia inaenda Bukoba. Pembeni mwa Barabara hii kutoka kwa Mheshimiwa (Js Hotel) Mpaka Js Safari Ambapo kati kati kuna Museven School (Mpya) na VETA iliyofunguliwa juzi pana Potential na payakua pazuri soon.

Hotels na Vilodge vyote vilikua fully booked, watu wengi hadi waheshimiwa wamelala nje ya Chato.

View attachment 1673137
View attachment 1673138
View attachment 1673139
View attachment 1673140

Chato Kuna Js Hotel na Js Safari, Wanasema zote za Mheshimiwa. Ila kajitahidi sana. Na ana Mbiga yake ina wanyama pori na Farasi. Pia kuna Chato Beach resort etc

In fact Chato Nimepakubali sana .
Ka hali cha hewa safi sana nikiwaza narudi Dar kuvuja Jasho

Infact kuna mambo mengi mazuri ila sijapiga picha nisije weka mambo mengine Confidential Humu.

Js Hotel.

View attachment 1673147

Hii kitu X7 40i Xdrive ya 2020 , taa moja ya Mbele ni sawa na Bei ya Land-cruiser ya Ichohoy J/K

View attachment 1673158


View attachment 1673150


Huku ni Js Safari, kuna mbuga ya wanyama.View attachment 1673155


View attachment 1673156
View attachment 1673157
Nimenyosha mikono kwa iyo 2020 BMW X7....Iko pow sana ...lakin niko na dream ya huracan men one day yes
 
As far as I can remember in Kenya those circuit things are done in form two. So it's possible he had the foundation for it. But proper Secondary physics that starts from form three he didn't do. Trust me cause I'm a witness.
Wewe nawe kumbe walewale tu, I thought umesoma Molecular Biology atleast una some basics of Science,
those circuit arrangements here watoto wanasoma shule ya Msingi, physics that qualifies you to Engineering is Advanced physics not proper physics kama unavyosema. Now I see why buildings collapses in Kenya.
 
Alianzia certificates ndio akapanda hadi degree. So it's possible.
That's possible, but lazima uwe umepass Physics.
Like for Certificate in Nursing or Diploma for Clinical officer you must pass Biology and Chemistry to qualify.
 
Manzese Dar es Salaam
20210109_190506.jpg
 
Wewe hujaona madharau yenye huyo mjinga Venus Star ananionyesha. Hio kiburi yake ni ya nini kama hawezi kuweka certificate yake watu waone? Kwangu asipoweka basi atakuwa hajasoma. Period. Ni mdomo tu ndio anayo kubwa na ubongoni ako zero. Ati amesoma cosmology, kwani anadhani sisi ni wajinga. Cosmology ambayo ni specialty ya physics amesomea wapi? Mara amesomea cosmology, mara software engineering, mara statistics, mara economics, mara hesabu, mara metaphysics. Hana msimamo huyu jamaa. Anarukaruka tu kwamba amesomea kila kitu na amekataa kabisa kuweka certificate yake hapa.
Kwani ukiona hajasoma ndio nini hasa? Point mtu yuko na content manake he is alread exposed to that very knowledge, sasa ww unatak certificate kwani ni mzazi wake ww? Alafu niutoto kama ww umeweka sio manake kila mtu aweke hapa
 
Km ulichukuwa Economics sawa ila hata kwa Accounting pia kuna sub courses za Economics, ni zile zile tu ambazo sisi huku huwa tunasoma Advanced level, mm nilisoma EGM nilipokuwa Advance yn Economics, Geography na Advanced Mathematics (Pure mathematics) nilipofika chuo nikachukua Accounting and Finance with Information Technology ambapo nilikutana na Economics km sub course ambazo ndio zile zile za Advance ila haitoshi kujiita mchumi.

But all in all hongera zako.
Duuh?, nimefuatilia huu mjadala wenu wa kisomi na masomo hadi nimeanza kuogopo kuchangia, kumbe humu ni wasomi watupu, nimeanza kupata ganzi ya kuchangia hapa "Kenya News forum". Hongereni sana wakuu.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Good morning to all the albino hunters from a poor country. Ebu tukumbuke nyuma kidogo

FB_IMG_16102627389125063.jpeg
 
Back
Top Bottom