The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Asante sana, hii nilikuwa naitafuta sana hii, jamaa tangu tuwa expose kuhusu kupika data za road wamekuwa waoga kabisa kuongelea the network of paved roads, pia wamepika mpk kwenye idadi ya shule ili mradi waonekane wako juu, but ukiwaambia leteni hizo shule tuzione hawana wanakimbilia statistics ambazo serikali yao inaongopa.Huyu mlienae anapika statistics za barabara tu
Increase the paved road network from the current 11,000km (7%) to 24,000km (15%) in five years
When made: February 2013 Where made: Party manifestoafricacheck.org
Kitu nilichogundua ni kwamba serikali ya Kenya huwa inaongopa kwenye statistics ili kuwaongopea lenders ili ionekane pesa wanazokopa zimefanya kazi but in reality kuna vitu hewa vingi sn ndani ya Kunyaland, ngj siku wapate rais anayejitambua ndo watakapoujua ukweli.
Wakenya wameongopewa kwa muda mrefu sana ila siku wataujua ukweli tuwaombee kwa Mungu tu.








