
, Katika Hotuba yake kasema katika miaka 10 tumelipa 10 USD kwa Chinese companies zinazofanya miradi hapa Bongo, na juzi tumewaongezea 1.3 Billion USD.
Kuna mwosha kinywa alikua anasema sisi Masikini. Kwa kuwa Mheshimiwa ka suggest wapotezee tu madeni ya zamani.
Mwingine kasema kenyan companies zinadominate Tanzania

Unaambiwa wana Kampuni 529 humu Bongo lakini zote zimeinvest 1.7 USD only. Hebu mkuu Geza fafanua hapa.
Makampuni mia tano Ishirini na tisa. Wakati kuna kampuni moja tu in 3 Billion Usd na hawasemi wamedominate.