Please endelea kuweka hizo information kabisa. Inaonekana zinaumiza sana😂😂Haha🤣,,wasema hivi ju inakepea pressure??hakuna kitu Tz inacho zaidi ya kenya,,utajua Sasa ukweli through this link
🤣🤣🤣Nishapata teargas yake sasa,,atakuwa akilia kila siku😭😭🤣🤣Please endelea kuweka hizo information kabisa. Inaonekana zinaumiza sana😂😂
Nakutaka kwenye market usiguse tutakuaibisha.
Wife uwe unaweka na mji unapotoka kitu ambacho umepost ili tujuwe kwamba nanyi mpo km Tz kwmb maendeleo yapo kila mahali.



Ndugu yangu utawafanya wajifiche.Wife uwe unaweka na mji unapotoka kitu ambacho umepost ili tujuwe kwamba nanyi mpo km Tz kwmb maendeleo yapo kila mahali.
Nimesema hv cz wenzetu mmekuwa mkipost Nairobi tu as if Kenya ni Nairobi tu.
Ok anza na hilo gereza utuambie linapatikana wapi turkana au wapi![]()
You can't dictate for me what to post you fool.Nakutaka kwenye market usiguse tutakuaibisha.
Nakuagiza kwa sasa tuongelee roads na bridges.
From Nairobi to Turkana, Isbania, Nayuki, nk.
Mbona unajiaibisha? Shopping Mall ndani yake huwa inafanana hivi?🤣🤣😂😂
Nimemtega tu, hawa jamaa ni totally failed state, hawana jipya kabisa, sisi tunapost modern markets zipo mwanza, mtwara, iringa, Morogoro, Musoma, n.k but wao ni Nairobi tu, hata shule zote Nairobi.




Wife usikasirike, ww sema tu iko wapi hiyo mall.You can't dictate for me what to post you fool.
Hiyo sio mall, hiyo ni market.Wife usikasirike, ww sema tu iko wapi hiyo mall.