Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikizurura mitaa ya mwanza, First time nimekuja Kanda ya Ziwa. In General , Chato bado padogo lakini Pako vizuri na panaenda kuwa Pazuri sana.

Nimekaa muda mwingi Barabara ya Geita , Ambayo pia inaenda Bukoba. Pembeni mwa Barabara hii kutoka kwa Mheshimiwa (Js Hotel) Mpaka Js Safari Ambapo kati kati kuna Museven School (Mpya) na VETA iliyofunguliwa juzi pana Potential na payakua pazuri soon.

Hotels na Vilodge vyote vilikua fully booked, watu wengi hadi waheshimiwa wamelala nje ya Chato.

IMG_4695.jpg

IMG_4694.jpg

IMG_4696.jpg

IMG_4697.jpg

Chato Kuna Js Hotel na Js Safari, Wanasema zote za Mheshimiwa. Ila kajitahidi sana. Na ana Mbiga yake ina wanyama pori na Farasi. Pia kuna Chato Beach resort etc

In fact Chato Nimepakubali sana .
Ka hali cha hewa safi sana nikiwaza narudi Dar kuvuja Jasho

Infact kuna mambo mengi mazuri ila sijapiga picha nisije weka mambo mengine Confidential Humu.

Js Hotel.

IMG_4640.jpg

Hii kitu X7 40i Xdrive ya 2020 , taa moja ya Mbele ni sawa na Bei ya Land-cruiser ya Ichohoy J/K

IMG_4705.jpg

IMG_4623.jpg

Huku ni Js Safari, kuna mbuga ya wanyama.
IMG_4552.jpg

IMG_4551.jpg

IMG_4549.jpg
 
Ndo mana nakuambia hizo ni sub courses tu hata mie pia nmesoma hizo ila sibishi kwmb ulichukua EconomicsView attachment 1673134
Asante kwa kupost. Naona umepiga ma B na ma A. Wewe ni genius. Grades zangu mimi naficha. Sikuanguka bali sitaki siasa. Naona umefanya unit moja ya economics inayoitwa "macroeconomics". Hongera naona unaelewa concepts kidogo kidogo lakini naona wewe hujaspecialize na economics kama mimi. Mimi first year pekee nimepiga units sita za economics. Sasa huwezi linganisha unit yako moja na zangu sita nilizopiga first year. Pitia transcript uone nilipiga hizi first year

1. Introduction to Microeconomics
2. Introduction to Macroeconomics
3. Mathematics for economists I
4. Mathematics for economists II
5. African Economic problems
6. Compararive economic systems.

Hizi ni units sita za economics in my first year.

Zoom uone kama nakudanganya
Anyway I am glad to know kwamba wewe pia ni msomi wa hali ya juu. Wewe tu ndio Mtanzania aliyepost transcript yake. Hongera mkuu. Wewe huwa muungwana sana.
 
Huyo jamaa leo asubuhi aliambia Geza Ulole ati yeye ni software engineer. Wacha aweke certificate yake ya software engineering hapa.
Venus Star hapa sio mahali pa kupiga domo. Weka certificates zako hapa kama unazo, sio kudharau bidii na jasho ya wenzako huku wewe huna lolote la kuonyesha. Kama huna certificates zako si ukae kimya. Na hata ukipost certificates zako mimi sitakudharau maana hio ni jasho yako, nitakupongeza tu. Mimi sio mtu wa madharau kama wewe.
wacha wivu mshikaji heshimu watu na profession zao!
 
wacha wivu mshikaji heshimu watu na profession zao!
Jamaa ni software engineer kwa mdomo tu. Amekataa kupost certificate wala transcript yoyote ya cosmology wala Metaphysics wala software engineering. Mimi nimepost zangu na hata rafiki yangu The best 007 amepost transcript yake.
 
Nikizurura mitaa ya mwanza, First time nimekuja Kanda ya Ziwa. In General , Chato bado padogo lakini Pako vizuri na panaenda kuwa Pazuri sana.

Nimekaa muda mwingi Barabara ya Geita , Ambayo pia inaenda Bukoba. Pembeni mwa Barabara hii kutoka kwa Mheshimiwa (Js Hotel) Mpaka Js Safari Ambapo kati kati kuna Museven School (Mpya) na VETA iliyofunguliwa juzi pana Potential na payakua pazuri soon.

Hotels na Vilodge vyote vilikua fully booked, watu wengi hadi waheshimiwa wamelala nje ya Chato.

View attachment 1673137
View attachment 1673138
View attachment 1673139
View attachment 1673140

Chato Kuna Js Hotel na Js Safari, Wanasema zote za Mheshimiwa. Ila kajitahidi sana. Na ana Mbiga yake ina wanyama pori na Farasi. Pia kuna Chato Beach resort etc

In fact Chato Nimepakubali sana .
Ka hali cha hewa safi sana nikiwaza narudi Dar kuvuja Jasho

Infact kuna mambo mengi mazuri ila sijapiga picha nisije weka mambo mengine Confidential Humu.

Js Hotel.

View attachment 1673147

Hii kitu X7 40i Xdrive ya 2020 , taa moja ya Mbele ni sawa na Bei ya Land-cruiser ya Ichohoy J/K

View attachment 1673158

View attachment 1673150

Huku ni Js Safari, kuna mbuga ya wanyama.View attachment 1673155

View attachment 1673156
View attachment 1673157
Iyo X7 sio mchezo
 
Asante kwa kupost. Naona umepiga ma B na ma A. Wewe ni genius. Grades zangu mimi naficha. Sikuanguka bali sitaki siasa. Naona umefanya unit moja ya economics inayoitwa "macroeconomics". Hongera naona unaelewa concepts kidogo kidogo lakini naona wewe hujaspecialize na economics kama mimi. Mimi first year pekee nimepiga units sita za economics. Sasa huwezi linganisha unit yako moja na zangu sita nilizopiga first year. Pitia transcript uone nilipiga hizi first year

1. Introduction to Microeconomics
2. Introduction to Macroeconomics
3. Mathematics for economists I
4. Mathematics for economists II
5. African Economic problems
6. Compararive economic systems.

Hizi ni units sita za economics in my first year.

Zoom uone kama nakudanganya
Anyway I am glad to know kwamba wewe pia ni msomi wa hali ya juu. Wewe tu ndio Mtanzania aliyepost transcript yake. Hongera mkuu. Wewe huwa muungwana sana.
Mm nmepiga macro na micro Economics co macro pekee ila ww umeenda mbele zaidi yng kwenye Economics.
 
Umeona vile tony kapata tabu kuisoma CPA katumia almost 6yrs nahisi hesabu ilikuwa inamsumbua sn huyu jamaa
Bro mimi ni jitu niliokuwa nasoma undergraduate economics na kisha najisomea CPA. Ukichunguza utagundua kuwa degree yangu na CPA yangu nilizifanya kwa wakati mmoja. Kwanza hapa Kenya ni watu wachache sana wanaojisomea CPA kisha wanaenda kufanya mtihani. Wengi wanaenda darasani kusoma CPA. Mimi sikuwa na muda wa kuenda darasani maana tayari nilikuwa chuo kikuu. Nilichukua six years kwa sababu nilitilia maanani degree yangu kushinda CPA. CPA sikuwa na haraka nayo maana ningeimaliza tu.
 
Jamaa ni software engineer kwa mdomo tu. Amekataa kupost certificate wala transcript yoyote ya cosmology wala Metaphysics wala software engineering. Mimi nimepost zangu na hata rafiki yangu The best 007 amepost transcript yake.
Kuna lugha mtu wa profession flani akizitaja unajua ni kweli jamaa aliangalia screenshot akajua what I do! Si rahisi mtu mwingine kujua na ali-post App yake anayo-develop! Kuwa na heshima kidogo bwn Tony254! Unajua the kind of coding that goes to develop an App?

BTW hivyo vyeti vina namba na kama board of Accountants Kenya wana results database online we can get every of ur details by simple queries!
 
Asante kwa kupost. Naona umepiga ma B na ma A. Wewe ni genius. Grades zangu mimi naficha. Sikuanguka bali sitaki siasa. Naona umefanya unit moja ya economics inayoitwa "macroeconomics". Hongera naona unaelewa concepts kidogo kidogo lakini naona wewe hujaspecialize na economics kama mimi. Mimi first year pekee nimepiga units sita za economics. Sasa huwezi linganisha unit yako moja na zangu sita nilizopiga first year. Pitia transcript uone nilipiga hizi first year

1. Introduction to Microeconomics
2. Introduction to Macroeconomics
3. Mathematics for economists I
4. Mathematics for economists II
5. African Economic problems
6. Compararive economic systems.

Hizi ni units sita za economics in my first year.

Zoom uone kama nakudanganya
Anyway I am glad to know kwamba wewe pia ni msomi wa hali ya juu. Wewe tu ndio Mtanzania aliyepost transcript yake. Hongera mkuu. Wewe huwa muungwana sana.
Hapana mkuu, humu kuna magenius sn sema hawajataka tu kupost mambo yao, mm niliweka transcript ili nikuoneshe tu kwmb nilisoma hizo courses pia ila hazikunitosha kuitwa Economist, ila humu kuna watz wamoto sn wana akili mnoo.
 
Kuna lugha mtu wa profession flani akizitaja unajua ni kweli jamaa aliangalia screenshot akajua what I do! Si rahisi mtu mwingine kujua na ali-post App yake anaye-develop! Kuwa na heshima kidogo bwn Tony254!
Yah elimu siyo vyeti bali ni kile kinachobaki kichwani, ofcz Venus Star si wa mchezo mchezo hata Wakenya humu wanamjua kwmb jamaa ni hatari, kuna mtu alipigwa maswali humu akachoka kabisa
 
Bro mimi ni jitu niliokuwa nasoma undergraduate economics na kisha najisomea CPA. Ukichunguza utagundua kuwa degree yangu na CPA yangu nilizifanya kwa wakati mmoja. Kwanza hapa Kenya ni watu wachache sana wanaojisomea CPA kisha wanaenda kufanya mtihani. Nilichukua six years kwa sababu nilitilia maanani degree yangu kushinda CPA. CPA sikuwa na haraka nayo maana ningeimaliza tu.
nya
Udsm watoto wa udbs wanagraduate na CPA kama njugu, sio ajabu kabisa sema nini wakenya mmekaza vichwa. Mpaka ugraduate kwanza ndio uanze itafuta bila hivyo utatumia 6years+
 
Most of economics haina calculus pengine unapofanya econometrics ndio unapokutana na mahesabu za kufa mtu. Econometricians ni Wachumi wanaopenda hesabu. Lakini kama hupendi hesabu unaweza kuspecialize na mambo kama development economics, population economics, health economics, agricultural economics na kadhalika. Hizi branches za economics hazina mahesabu mazito sana, yana mahesabu ya kawaida tu na magraph nyingi za kishenzi, na economic theories ambazo lazima uzielewe.
Uache ku-troll Tanzania's success kwa kufungua pages Mshenzi facebook unayoiita African full facts!
 
Udsm watoto wa udbs wanagraduate na CPA kama njugu, sio ajabu kabisa sema nini wakenya mmekaza vichwa. Mpaka ugraduate kwanza ndio uanze itafuta bila hivyo utatumia 6years+
Watu wachache sana wana moyo wa kujisomea CPA ilhali bado wapo Chuo kikuu. Utatafuta ukose au upate mmoja au wawili wanaoweza kubalance vitu hivi viwili kwa wakati mmoja.
 
Back
Top Bottom