Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekutana nae youtube🤣🤣👇👇 akisifia mradi wa wachina wa miaka 30 huku wakilipishwa 7989ksh 😁😁😁 kwa kila gari zikienda kwa mchina
6754AF38-B290-40E2-99B8-4F42916D4DB2.jpeg
 
Hapana haya si mabondo ila ni mapanki kwa sasa nasikia yana soko sana Congo.
Mabondo si rahisi kuyakuta hovyo hovyo hivyo yana thamani kubwa.
Mapanki, umenikumbusha ile documentary ya Darwin's nightmare.

Sasa haya mabondo ni uchawi gani hata yasionekane? Mwenye kapicha atupie angalau sisi washamba wa mambo ya kanda ya ziwa tujifunze kidogo.
 
, Katika Hotuba yake kasema katika miaka 10 tumelipa 10 USD kwa Chinese companies zinazofanya miradi hapa Bongo, na juzi tumewaongezea 1.3 Billion USD.

Kuna mwosha kinywa alikua anasema sisi Masikini. Kwa kuwa Mheshimiwa ka suggest wapotezee tu madeni ya zamani.

Mwingine kasema kenyan companies zinadominate Tanzania

Unaambiwa wana Kampuni 529 humu Bongo lakini zote zimeinvest 1.7 USD only. Hebu mkuu Geza fafanua hapa.

Makampuni mia tano Ishirini na tisa. Wakati kuna kampuni moja tu in 3 Billion Usd na hawasemi wamedominate.
Kampuni za Kenya ni za kichuuzi!
 
Kwa hivyo wewe ng'ombe unataka kujifanya kwamba hujaona transcript yangu ya university ambayo nimepost watu wakaiona na nikaitoa. Wewe ni mjinga. Vipi hujaweka certificate yako hata moja kazi yako ni kudharau watu wengine na wewe hujasoma hata kidogo. Wewe huwezi kuniambia kitu hadi uweke certificate au transcript yako. Vinginevyo siwezi kuargue na low IQ fool like you.
Mbona unakaa kama umepoteza matumaini? Baada ya pipeline saahii JPM anaenda kuinyang'anya northern corridor biashara! After lot 5 signing JPM wants to combine lot 4 & 3 and float a tender for the last section for once and all in this year !

Halafu 2022 inakuja huku RAO huku Ruto lazma mtifuane muwe stagnant kwa mwaka mzima hivi kabla hamjasimama tena! By the time mmekaa sawa, JNHPP is up n running, EACOP is transmitting crude n SGR ito Mwanza is operating!
 
Mbona unakaa kama umepoteza matumaini? Baada ya pipeline saahii JPM anaenda kuinyang'anya northern corridor biashara!

Halafu 2022 inakuja huku RAO huku Ruto lazma mtifuane muwe stagnant kwa mwaka mzima hivi kabla hamjasimama tena! By the time mmekaa sawa, JNHPP is up n running, EACOP is transmitting crude n SGR ito Mwanza is operating!
Hata tukitifuana kwa mwaka mmoja bado itakuwa ngumu nyie kutupita. Mwaka mmoja ni kidogo sana. Mimi naona tu mnaweza kutupita ikiwa tutachagua rais aliye anti-development. Yaani rais ambaye hataki kujenga miundo mbinu. Tulikuwa na rais kama huyo na alikuwa anaitwa Moi. He was very corrupt na hakujenga barabara kilomita nyingi na wala hakujenga reli wala nini. Yaani aliturudisha nyuma sana kwa miaka 24 alizokuwa madarakani.
Au mnaweza kutupita ikiwa tutashindwa kulipa madeni yetu na IMF walete policy zao za kipuuzi za kuvunja vunja uchumi wetu kama condition ya kutupatia loan.
 
Sio, Jana nilinunua samaki wakati wanasafisha nikauliza yale wanayotoa meupe ni mabondo? Wanasema hayo mabondo kabla hujauziwa samaki yanakua yameshachukuliwa ni deal. huwezi yaona.
Ni big deal sana kwenye fishing industry, nafikiri ndio product ya samaki ghali sana kwenye value chain, nawafahamu wafanyabiasha wa bondo tu ambao wapo vizuri mno

Bondo zenyewe ni hizi, zinapimwa kwa gram

ErMitwwWMAAG--Y.jpg





 
Ni big deal sana kwenye fishing industry, nafikiri ndio product ya samaki ghali sana kwenye value chain, nawafahamu wafanyabiasha wa bondo tu ambao wapo vizuri mno

Bondo zenyewe ni hizi, zinapim
2662814_ErMitwwWMAAG--Y.jpg


Asante sana kwa maelezo, kumbe mabondo ni dried air bladder ya samaki? Niliiona hii video jana, jamaa akimwonesha Waziri wa China nikawa najiuliza haya madudu ya njano ni nini?
 
Tony254 na demu wetu Teargass mnatakiwa kujua mimi binafsi sipendi ujinga.

Teargass Kazi yako ya nursing ni nzuri mno maana inawafaa sana warembo kama wewe. Binafsi huwa napenda kuhudumiwa na demu nikienda hospital maumivu ya ugonjwa hupungua.

Teargass hebu uwe serious basi kuna demu mmoja yupo kwenye clip uliyoituma nilitamani sana nimle nijue utamu wa wakenya vipi niunganishe basi maana next month nakuja Nairobi.
Sawa jamani!?

Mr. Tony254 mbona wewe mwanaume umekaka urojo urojo!!? Eee! Hujakomaa!? unalialia kama demu. Utaweza kweli kuipambania Kenya kwa kutumia hiyo CPA!? Mtoto wa kiume komaa bhana.
Halafu hiyo cosmology imekuingia vizuri sana. Ninakusihi ujaribu hata kusoma fundamentals itakusaidia kupanua ubongo.

Tony254 mambo ya certificates nawaachia ninyi muweke tuzione may be tunaweza kuwaajiri. Nitumie certificate na transcripts za chuo nikutafutie Kazi chap chap.
 
Back
Top Bottom