Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

CC: Tony254 unaonaje? Mchina akitoa mkopo wa masharti nafuu kuliko ile mikopo yenyu? Kutakalika humu ndani?
Si wewe ndio jana ulisema kuwa TZ haiwezi kuomba mkopo wa SGR kutoka China? Nilisema kuwa mtaomba mkopo ukaona kama nadanganya. Mimi najua kuwa nchi yenu ni masikini na haiwezi kujenga hilo stretch kutoka Dar hadi Burundi bila mikopo. Usiwe unapingana na mimi jamaa. Najua ninachosema.
 
Nchi kukopa kwa ajili ya miradi ya kimaendeleo ndo kielelezo cha kuwa nchi maskini? Hv uchumi ulisomea wapi vilee ili nisije kuthubutu kupeleka mwanangu huko [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]
 
tega sikio na macho, usikie na kuona mkataba ukisainiwa! siye hatuchukui mkopo kwa Mwanza-Isaka lot na hata tukija kuchukua hatuchukui mikopo ya Ufalamanga! Naomba usianze ujinga wa kipuuzi!

Geza Ulole 👆👆
Huyu si wewe jana ulikuwa unatanua kuwa hamtaomba loan kutoka Mchina? Ni kweli hamjaomba mkopo kutoka Mwanza to Isaka bali mtaomba mkopo kutoka Isaka to Makutupora. Nyinyi ndio mlikuwa mnaringa kuwa hamuhitaji mkopo wa Mchina katika ujenzi wa Sgr yenu? Maringo ni mbaya. Sasa hivi mnapiga magoti mbele ya huyo Mchina mliyemtusi na bakuli mkononi? Haya basi wacha tuone kama watawapa huo mkopo na jinsi watakavyowakamua.
 
Nchi kukopa kwa ajili ya miradi ya kimaendeleo ndo kielelezo cha kuwa nchi maskini? Hv uchumi ulisomea wapi vilee ili nisije kuthubutu kupeleka mwanangu huko [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]
Wewe na Geza Ulole Mlishasema kwamba mimi sio mchumi. Sasa unauliza maswali mengi ya nini?
 
Nchi kukopa kwa ajili ya miradi ya kimaendeleo ndo kielelezo cha kuwa nchi maskini? Hv uchumi ulisomea wapi vilee ili nisije kuthubutu kupeleka mwanangu huko [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]
Tanzania inaruhusiwa kukopa kwa sababu ya ujenzi wa miradi ya kimaendeleo lakini Kenya mnayoichukia hairuhusiwi. Okay, nimekuelewa sasa.
 
media za kenya zipo kimya kureport kusaini ujenzi wa sgr.. maana ni msiba kubwa kwao. Ama kweli kuwahi kuanza sio kuwahi kufika...
1000’s km of SGR already signed and under construction [emoji375]
umeona enhee hawa jamaa si watu wana chuki na wivu kinoma! Imagine hata media houses zinashindwa kufanya kazi kwa kufuata guidelines za Professionalism! that's the biggest news in Africa for this year!
 
Tanzania inaruhusiwa kukopa kwa sababu ya ujenzi wa miradi ya kimaendeleo lakini Kenya mnayoichukia hairuhusiwi. Okay, nimekuelewa sasa.
Tatizo nyie mnakopa zinaingia mifukoni mwa watu, shida ndo inaanzia hapo lkn pia viongozi wenu sio waaminifu mfano mmekopa mabilioni ya shilingi lkn mmeishia kujenga kituko cha diesel sgr kwa gharama ya electric sgr na ndiyo maana huwa tunawacheka sn.
 
Basi la ngorongoro👇👇
C6C37418-CE01-4D4D-B2E9-DA4ED6C620E4.jpeg
4C50B662-3E8B-4B25-A935-3F922BC5DB52.jpeg
A06EA444-E63B-4088-A00A-6C64304BE14B.jpeg
 
Good evening for all albino hunters in this group. Kakamega has better roads than all Tanzanian cities outside Dar is slum.

tapatalk_1610112736894.jpeg
 
Back
Top Bottom