Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatuezikuwaogopa[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]. Nyinyi mko na kelele with nothing to show for it. Mlikuwa mkijagamba hapa venye mko na masoko na sasa venye jana mpira uliweka chini watu wakecheze mlishindwa hata kupost picha nne za soko.[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Siku hizi mmekuwa mnatuogopa kweli kweli, eti tunakelele but zamani sisi ndo tulikuwa tunawaona nyie mnakelele sn, asante sana kwa kuanza kupata akili nowadays [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji86][emoji86][emoji204][emoji204]
 
Kisumu. Road like this can't be found in Tanzania.View attachment 1673456
Jaribu ku compare na hii uone utakavyojisikia[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
JamiiForums-351580744.jpg
 
Hatuezikuwaogopa[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]. Nyinyi mko na kelele with nothing to show for it. Mlikuwa mkijagamba hapa venye mko na masoko na sasa venye jana mpira uliweka chini watu wakecheze mlishindwa hata kupost picha nne za soko.[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Wala sina haja ya ku argue na ww kuhusu markets cz kilichokutokea jana kipo moyoni mwako na km utaendeleza kelele ili kuji soft tutarudia tena battle ya shule na markets kwamba leta nilete bila maneno na sio naleta 10 unaleta moja unazuga na maongezi [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji204][emoji204][emoji86][emoji86]
 
Sasa huu ni uchafu gani umeeka hapa?[emoji23][emoji23][emoji1787]
Wakenya wenzako siku hizi wanakuona hamnazo kabisa, huoni hata likes hupati? Mana wanaona unabishana na ukweli wkt wanaona kwa macho yao [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
 
Wala sina haja ya ku argue na ww kuhusu markets cz kilichokutokea jana kipo moyoni mwako na km utaendeleza kelele ili kuji soft tutarudia tena battle ya shule na markets kwamba leta nilete bila maneno na sio naleta 10 unaleta moja unazuga na maongezi [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji204][emoji204][emoji86][emoji86]
Kitu nimegundua ni kuwa hata Uganda imewashinda kwa sector ya Market.
 
Nasema wanaanza kulinganisha kwa kujenga miradi inayoibuka TZ.Yaani hawana vipau mbele vyao wana ibuka tu .
Siku hizi wameanza kuangalia Magu anafanya nn nao wanaiga, sijui km mme notice [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wakenya wenzako siku hizi wanakuona hamnazo kabisa, huoni hata likes hupati? Mana wanaona unabishana na ukweli wkt wanaona kwa macho yao [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
I'm not here to get likes. Ona venye huko na akili za kitoto sana. No wonder you are a hawker[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Back
Top Bottom