Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hii nadhani km tuko karibu sn ule mzigo wa kimara kibaha hasa pale mbezi wakijenga ile flyover....lkn izo za chini ngoja tuone na pressure ya magari..mtazamo tuView attachment 1672891View attachment 1672892
Ntafika tu after Mika 60 hivi
70355349_136093724351047_1111246111587703876_n.jpg
 
Bro mimi nimesoma uchumi kwenye university. Nitakuambia mara ngapi? Mbona mnasumbua sana Watanzania? Ama lazima niweke certificates zangu za university ndio mkubali? Nimechoka kudebate. Uki insist basi nitapost kesho. Unikumbushe kesho. Nitapost transcript ya fourth year.
Km ulichukuwa Economics sawa ila hata kwa Accounting pia kuna sub courses za Economics, ni zile zile tu ambazo sisi huku huwa tunasoma Advanced level, mm nilisoma EGM nilipokuwa Advance yn Economics, Geography na Advanced Mathematics (Pure mathematics) nilipofika chuo nikachukua Accounting and Finance with Information Technology ambapo nilikutana na Economics km sub course ambazo ndio zile zile za Advance ila haitoshi kujiita mchumi.

But all in all hongera zako.
 
Kwenye CPA kuna unit inayoitwa quantitative analysis ambayo ni hesabu tupu. Syllabus yenu ya accounting sio sawa na yetu. Yenu pengine haina mahesabu lakini yetu baadhi ya units zina hesabu.
CPA (T) kwa Tz ni lazima ujue mathematics yn kwa maneno mengine ni kwamba mtu aliyesoma PCM au EGM inakuwa rahisi kwake kusoma CPA kuliko ECA ambao ndio wahasibu typical.
 
CPA (T) kwa Tz ni lazima ujue mathematics yn kwa maneno mengine ni kwamba mtu aliyesoma PCM au EGM inakuwa rahisi kwake kusoma CPA kuliko ECA ambao ndio wahasibu typical.
Kweli mkuu, mfano hiyo quantitative analysis, ina integration na differentiation sasa mtu kama hukusoma pure math, lazima uone unaonewa,. Hata wengi wanaokimbilia kusoma economics bila pure math vilio ni vile vile. Just imagine mtu kasoma hge halafu anakutana na maswali ya economics yenye concepts za differential equations
 
Hahahaha ni demu yule yule. Nataka nijaribu kula mademu wa kenya sijui kama ni watamu. Kuna demu mmoja rafiki yake nataka aniunganishe nimle.
Ulimention Simon kimakosa badala ya kumention Magix Enga. Huyo ndio mrembo aliyekuwa na mwenzake kwenye ile video. Kama unataka kujua kama yuko single basi muinbox.
 
Huyo jamaa leo asubuhi aliambia Geza Ulole ati yeye ni software engineer. Wacha aweke certificate yake ya software engineering hapa.
Venus Star hapa sio mahali pa kupiga domo. Weka certificates zako hapa kama unazo, sio kudharau bidii na jasho ya wenzako huku wewe huna lolote la kuonyesha. Kama huna certificates zako si ukae kimya. Na hata ukipost certificates zako mimi sitakudharau maana hio ni jasho yako, nitakupongeza tu. Mimi sio mtu wa madharau kama wewe.
Habari ya Asubuhi imekushtua enhee kijana ? Polee..
 
Kweli mkuu, mfano hiyo quantitative analysis, ina integration na differentiation sasa mtu kama hukusoma pure math, lazima uone unaonewa,. Hata wengi wanaokimbilia kusoma economics bila pure math vilio ni vile vile. Just imagine mtu kasoma hge halafu anakutana na maswali ya economics yenye concepts za differential equations
Most of economics haina calculus pengine unapofanya econometrics ndio unapokutana na mahesabu za kufa mtu. Econometricians ni Wachumi wanaopenda hesabu. Lakini kama hupendi hesabu unaweza kuspecialize na mambo kama development economics, population economics, health economics, agricultural economics na kadhalika. Hizi branches za economics hazina mahesabu mazito sana, yana mahesabu ya kawaida tu na magraph nyingi za kishenzi, na economic theories ambazo lazima uzielewe.
 
Back
Top Bottom