Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapana haya si mabondo ila ni mapanki kwa sasa nasikia yana soko sana Congo.
Mabondo si rahisi kuyakuta hovyo hovyo hivyo yana thamani kubwa.
Mkuu mapanki si yale skeletons baada ya filets kuondolewa, miaka ya nyuma kidogo kulitokea scandal kubwa kutokana na documentary yake wazungu waliitengeneza mpaka ikajadiliwa bungeni?
 
Hata tukitifuana kwa mwaka mmoja bado itakuwa ngumu nyie kutupita. Mwaka mmoja ni kidogo sana. Mimi naona tu mnaweza kutupita ikiwa tutachagua rais aliye anti-development. Yaani rais ambaye hataki kujenga miundo mbinu. Tulikuwa na rais kama huyo na alikuwa anaitwa Moi. He was very corrupt na hakujenga barabara kilomita nyingi na wala hakujenga reli wala nini. Yaani aliturudisha nyuma sana kwa miaka 24 alizokuwa madarakani.
Au mnaweza kutupita ikiwa tutashindwa kulipa madeni yetu na IMF walete policy zao za kipuuzi za kuvunja vunja uchumi wetu kama condition ya kutupatia loan.
Huyu mlienae anapika statistics za barabara tu

 
2662814_ErMitwwWMAAG--Y.jpg


Asante sana kwa maelezo, kumbe mabondo ni dried air bladder ya samaki? Niliiona hii video jana, jamaa akimwonesha Waziri wa China nikawa najiuliza haya madudu ya njano ni nini?
Yeah hayo yameshakua processed yakiwa raw yanakua meupe.
 
Fact ni kwamba nimesoma kushinda wengi wenu. Endelea kunichokora. Hata utagundua kwamba nimeishi Europe. Endelea kunipekua
Acha majigambo ww europe unakujua ww🤣 hakuna mtu anakufatilia ila nimekukuta hapo ukishabikia mradi wa mchina
 
Back
Top Bottom