Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aaah uyo alisomaje. ..tena umeme bila kupiga pindi za physics iyo forgery noma
As far as I can remember in Kenya those circuit things are done in form two. So it's possible he had the foundation for it. But proper Secondary physics that starts from form three he didn't do. Trust me cause I'm a witness.
 
Daaah humu Ndani Leo kulikoni🙄aisee tupendane wote Sisi majirani,naona matusi full kila mtu kasomea profession flani kwa hiyo tuwe wastaarabu kidogo eboo🙄 Tanzania kuna wasomi kibao pia ndugu zetu wakenya wasomi pia tuendelee na topic nyingine 😃
 
Hatari
IMG_20161123_210106.jpg
 
Alianzia certificates ndio akapanda hadi degree. So it's possible.
Kwa Tz haiwezekani hiyo na ndiyo maana tunasema elimu yetu ni ngumu sana, thus y wapo Watz wanakimbilia huko kwenu mana urahisi km huo hawawezi kuupata huku.
 
Nikizurura mitaa ya mwanza, First time nimekuja Kanda ya Ziwa. In General , Chato bado padogo lakini Pako vizuri na panaenda kuwa Pazuri sana.

Nimekaa muda mwingi Barabara ya Geita , Ambayo pia inaenda Bukoba. Pembeni mwa Barabara hii kutoka kwa Mheshimiwa (Js Hotel) Mpaka Js Safari Ambapo kati kati kuna Museven School (Mpya) na VETA iliyofunguliwa juzi pana Potential na payakua pazuri soon.

Hotels na Vilodge vyote vilikua fully booked, watu wengi hadi waheshimiwa wamelala nje ya Chato.

View attachment 1673137
View attachment 1673138
View attachment 1673139
View attachment 1673140

Chato Kuna Js Hotel na Js Safari, Wanasema zote za Mheshimiwa. Ila kajitahidi sana. Na ana Mbiga yake ina wanyama pori na Farasi. Pia kuna Chato Beach resort etc

In fact Chato Nimepakubali sana .
Ka hali cha hewa safi sana nikiwaza narudi Dar kuvuja Jasho

Infact kuna mambo mengi mazuri ila sijapiga picha nisije weka mambo mengine Confidential Humu.

Js Hotel.

View attachment 1673147

Hii kitu X7 40i Xdrive ya 2020 , taa moja ya Mbele ni sawa na Bei ya Land-cruiser ya Ichohoy J/K

View attachment 1673158


View attachment 1673150


Huku ni Js Safari, kuna mbuga ya wanyama.View attachment 1673155


View attachment 1673156
View attachment 1673157
Ndinda acha masihara 🤣🤣🤣🤣 ile cruiser bei yake ni motoo😅😅😅
 
Kwa Tz haiwezekani hiyo na ndiyo maana tunasema elimu yetu ni ngumu sana, thus y wapo Watz wanakimbilia huko kwenu mana urahisi km huo hawawezi kuupata huku.
I don't have any knowledge in the field of engineering that I can use to explain to you how he managed to do it. So let's continue with other topics juu inaonekana hii topic imefukuza watu wengi. I'm also sleepy.
 
I don't have any knowledge in the field of engineering that I can use to explain to you how he managed to do it. So let's continue with other topics juu inaonekana hii topic imefukuza watu wengi. I'm also sleepy.
Ndo nakuambia ss huku haiwezekani hiyo scenario.
 
Pitia hii thread ukitaka battle ya barabara



Tanzanians, show us your roads
 
Back
Top Bottom