Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikizurura mitaa ya mwanza, First time nimekuja Kanda ya Ziwa. In General , Chato bado padogo lakini Pako vizuri na panaenda kuwa Pazuri sana.

Nimekaa muda mwingi Barabara ya Geita , Ambayo pia inaenda Bukoba. Pembeni mwa Barabara hii kutoka kwa Mheshimiwa (Js Hotel) Mpaka Js Safari Ambapo kati kati kuna Museven School (Mpya) na VETA iliyofunguliwa juzi pana Potential na payakua pazuri soon.

Hotels na Vilodge vyote vilikua fully booked, watu wengi hadi waheshimiwa wamelala nje ya Chato.

View attachment 1673137
View attachment 1673138
View attachment 1673139
View attachment 1673140

Chato Kuna Js Hotel na Js Safari, Wanasema zote za Mheshimiwa. Ila kajitahidi sana. Na ana Mbiga yake ina wanyama pori na Farasi. Pia kuna Chato Beach resort etc

In fact Chato Nimepakubali sana .
Ka hali cha hewa safi sana nikiwaza narudi Dar kuvuja Jasho

Infact kuna mambo mengi mazuri ila sijapiga picha nisije weka mambo mengine Confidential Humu.

Js Hotel.

View attachment 1673147

Hii kitu X7 40i Xdrive ya 2020 , taa moja ya Mbele ni sawa na Bei ya Land-cruiser ya Ichohoy J/K

View attachment 1673158

View attachment 1673150

Huku ni Js Safari, kuna mbuga ya wanyama.View attachment 1673155

View attachment 1673156
View attachment 1673157
Kwa Mkulu sio? Mwambie katoboa nyongo za Wakenya!
 
Hapana mkuu, humu kuna magenius sn sema hawajataka tu kupost mambo yao, mm niliweka transcript ili nikuoneshe tu kwmb nilisoma hizo courses pia ila hazikunitosha kuitwa Economist, ila humu kuna watz wamoto sn wana akili mnoo.
Ni sawa. Nimeweka transcript yangu kwa sababu yako halafu nimeitoa. Nilikuwa nataka tu ujuwe kwamba nimesoma uchumi kwa undani na sio kubahatisha. Lakini wacha mjadala uishe. Bora tumeelewana.
 
Kuna lugha mtu wa profession flani akizitaja unajua ni kweli jamaa aliangalia screenshot akajua what I do! Si rahisi mtu mwingine kujua na ali-post App yake anayo-develop! Kuwa na heshima kidogo bwn Tony254! Unajua the kind of coding that goes to develop an App?

BTW hivyo vyeti vina namba na kama board of Accountants Kenya wana results database online we can get every of ur details by simple queries!
Nimekupa ruhusa Uisearch. Ndio maana nimeipost wazi wazi.
 
Kuna lugha mtu wa profession flani akizitaja unajua ni kweli jamaa aliangalia screenshot akajua what I do! Si rahisi mtu mwingine kujua na ali-post App yake anayo-develop! Kuwa na heshima kidogo bwn Tony254! Unajua the kind of coding that goes to develop an App?

BTW hivyo vyeti vina namba na kama board of Accountants Kenya wana results database online we can get every of ur details by simple queries!
Halafu mbona yeye mwenyewe anadharau profession ya Accounting? Ama wewe huoni kama hilo ni makosa?
 
Bro mimi sijadharau profession ya Accounting. Angalia comments zako ulipowela certificate yako. Ulisema eti CPA ni full mathematics. Mimi sipendi ujinga wa waziwazi lazima nikuchachafye ili akili zikae. Halafu mambo ya kuweka certificate kwenye social media ni immature na ushamba.
Hivi unadhani kuwa na CPA ndio umekuwa educated!?

Nilikwambia any person can study it.
Usitutishe kuhusu mathematics maana wengine mathematics ndio maisha yetu.
 
Wewe ni domo domo tu

Kwa hivyo wewe ng'ombe unataka kujifanya kwamba hujaona transcript yangu ya university ambayo nimepost watu wakaiona na nikaitoa. Wewe ni mjinga. Vipi hujaweka certificate yako hata moja kazi yako ni kudharau watu wengine na wewe hujasoma hata kidogo. Wewe huwezi kuniambia kitu hadi uweke certificate au transcript yako. Vinginevyo siwezi kuargue na low IQ fool like you.
 
Kwa hivyo wewe ng'ombe unataka kujifanya kwamba hujaona transcript yangu ya university ambayo nimepost watu wakaiona na nikaitoa. Wewe ni mjinga. Vipi hujaweka certificate yako hata moja kazi yako ni kudharau watu wengine na wewe hujasoma hata kidogo. Wewe huwezi kuniambia kitu hadi uweke certificate au transcript yako. Vinginevyo siwezi kuargue na low IQ fool like you.
 
Kwa Mkulu sio? Mwambie katoboa nyongo za Wakenya!

, Katika Hotuba yake kasema katika miaka 10 tumelipa 10 USD kwa Chinese companies zinazofanya miradi hapa Bongo, na juzi tumewaongezea 1.3 Billion USD.

Kuna mwosha kinywa alikua anasema sisi Masikini. Kwa kuwa Mheshimiwa ka suggest wapotezee tu madeni ya zamani.

Mwingine kasema kenyan companies zinadominate Tanzania

Unaambiwa wana Kampuni 529 humu Bongo lakini zote zimeinvest 1.7 USD only. Hebu mkuu Geza fafanua hapa.

Makampuni mia tano Ishirini na tisa. Wakati kuna kampuni moja tu in 3 Billion Usd na hawasemi wamedominate.
 
Kwa hivyo wewe ng'ombe unataka kujifanya kwamba hujaona transcript yangu ya university ambayo nimepost watu wakaiona na nikaitoa. Wewe ni mjinga. Vipi hujaweka certificate yako hata moja kazi yako ni kudharau watu wengine na wewe hujasoma hata kidogo. Wewe huwezi kuniambia kitu hadi uweke certificate au transcript yako. Vinginevyo siwezi kuargue na low IQ fool like you.
Certificate za nn humu ndani? Bwn CPAK?
 
Bro mimi sijadharau profession ya Accounting. Angalia comments zako ulipowela certificate yako. Ulisema eti CPA ni full mathematics. Mimi sipendi ujinga wa waziwazi lazima nikuchachafye ili akili zikae. Halafu mambo ya kuweka certificate kwenye social media ni immature na ushamba.
Hivi unadhani kuwa na CPA ndio umekuwa educated!?

Nilikwambia any person can study it.
Usitutishe kuhusu mathematics maana wengine mathematics ndio maisha yetu.
Mjinga sana wewe. Weka certificate yako ama ukae kimya. Mpumbavu mkubwa wewe. Hata huna adabu. Unakuja kujipiga kifua hapa ilhali huna certificate hata moja. Halafu unadharau profession ya watu na wewe mwenyewe hujasoma. Jinga kabisa wewe jamaa. Na usinimention. Nimeona napoteza muda wangu bure na juha kalulu a.k.a abunuasi.
 
Certificate za nn humu ndani? Bwn CPAK?
Wewe hujaona madharau yenye huyo mjinga Venus Star ananionyesha. Hio kiburi yake ni ya nini kama hawezi kuweka certificate yake watu waone? Kwangu asipoweka basi atakuwa hajasoma. Period. Ni mdomo tu ndio anayo kubwa na ubongoni ako zero. Ati amesoma cosmology, kwani anadhani sisi ni wajinga. Cosmology ambayo ni specialty ya physics amesomea wapi? Mara amesomea cosmology, mara software engineering, mara statistics, mara economics, mara hesabu, mara metaphysics. Hana msimamo huyu jamaa. Anarukaruka tu kwamba amesomea kila kitu na amekataa kabisa kuweka certificate yake hapa.
 
Kweli umeaumulia huyo jamaa
 
Back
Top Bottom