Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Kwa hiyo unataka kuiweka kenya na japan katika lane moja??!!In fact na ujinga wao hawajui nusu ya deni letu inamilikiwa na benki za Kenya. Internal borrowing is far much better than external na ndio maana JAPAN debt to GDP ratio yao ni karibia asilimia 200.
Wanashangaa profits za benki zetu huishia wapi. Wao hata mabenki haziwezi kopesha GoT 😹😹
Lanes bana! LANES.
Ati battle.. WHAT BATTLE? HAHAHAHA
Aaah nilisahau kuwa uchumi wa kenya ni mkubwa kuzidi uchumi wa japan..





