The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Alinichekesha sn Teargass eti anajivunia f5 ambazo cc kwetu tulimpigia nduli na kwa ss zpo banda la maoneshoKenya haiwezi kumiliki F16 hata kama ni used ndani ya kipindi cha miaka 50, ninyi mnamiliki F5 tena za zamani sana, hakuna nchi yoyote inayotumia hizo ndege sasa hivi




Aibu kwa ni nyie mwatumia?Second hand nazo za kuja kututambia hapa,uwe unaona aibu sometimes..
Haha umenikumbusha MK54 alikuwa anasema pima pimaKama walivyoshabikia kupima Corona, hivi sasa huwasiki tena![]()
Sanaaa.
Hii naona zitakamilika pamoja na ya uhasibu cz hatua iliyofika hii na ya uhasibu ni hv hv, so nadhani GoT hz flyovers 11 mpya za Dar zitajengwa mbili mbili




Lazima waingie mtaani kuchinjana tena piga uanaandika kama utani hapa ila,nawahakikishia hii train itasababisha maandamano makubwa sana inchi ya jirani.



Mbona maswali ya kipoyoyo yako mengi? Hizi treni unaweka order kama ndege! Hizi si gari unaenda showroom unanunua labda kama unachukua secondhand kama Kenya juzi huko Spain! Ina maana wewe Bwn tuusan hukusoma maelezo ya Masanja the Citizen?
Geza bhn



Huyu tuusan sijui aliamkaje leo?Geza bhn![]()
Ahahah kwendeni zenu sema ninyi fedha za mikopo ndo zinawaponzaHuku hatufichi habari.
Tupambana na maisha jinsi yalivyo sio kujificha ficha
Really? What about zile zenu za World War 1?Kenya haiwezi kumiliki F16 hata kama ni used ndani ya kipindi cha miaka 50, ninyi mnamiliki F5 tena za zamani sana, hakuna nchi yoyote inayotumia hizo ndege sasa hivi
This is a list of countries that uses F-5 jets, I know you are just jealous because you can`t afford to have it.Kenya haiwezi kumiliki F16 hata kama ni used ndani ya kipindi cha miaka 50, ninyi mnamiliki F5 tena za zamani sana, hakuna nchi yoyote inayotumia hizo ndege sasa hivi
Alafu we jamaa
Kumbe huaga mnakopaga kimya kimyaCrdb and UBA last year imekopesha serikali $300mil usd...