Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe internal borrowing uliskia ni lazima Iwe from Central Bank? Punguza ujinga.. Unadhihirisha udumavu/ulemavu wa kiakili.

Deni letu karibia NUSU inamilikiwa na benki za KENYA!! Nyinyi je? 😹😹
Anasema internal borrowing ni ya Central Bank pekee 😂😂😂 kweli upambavu umekita mizizi Tanzania
 
Mwenyewe hujielewi. Ni kukurupuka tu kama kawaida. ULEMAVU wa kiakili.. Tena hadharani. Ushahamisha goli sasa hivi unaongelea largest creditor. HAHAHA

Lengo la kuitaja JAPAN kwenye mjadala ni jinsi deni lao mostly ni INTERNAL BORROWING which enables it's government to carry out its activities and even be able to become among the largest creditors.

Vivyo hivyo, Kenya karibu nusu ya deni INAMILIKIWA NA BENKI za Kenya (Internal Borrowing) and that's why we can still be able to go for more loans from other creditors.

Punguza ujinga, fanya research kuhusu INTERNAL BORROWING, mataga! 😹😹
serious leo ww wakujifananisha na japan serious 😂😂😂😂👇👇👇

Japan to give Kenya about $860 million in loans, grants for bridge, economic zone
 
Dona Kantri ushuzi, leteni mahindi na vitunguu tuyanunue. Mwenye kuanzisha "battle" mwenyewe alishaona ukweli akasepa MATAGA wamebakia kujifariji na ujinga 😹😹

Mods naomba uzi usifutwe, MATAGA wapate exposure 👇



Na haturingi

Ukosefu wa hoja kichwani unakusumbua hadi unaropoka ropoka ushuzi tu mdomoni! Who are you by the way to command the moderator?
 
Which Bank specifically unazungumzia kilaza? 😂😂😂 internal borrowing unaelewa maana yake kweli ? How can Japan kopesha itself? Kenya hakuna kitu kinaitwa BANK OF KENYA, hehehehe , kuna commercial banks within the country that can loan the gov't.., unaropokwa tu ovyo ovyo😂😂😂😉 this time round mmebaki kutapatapa tu, hamna lolote😂😂😂😂
Haamini kuwa Kenya kuna benki zenye uwezo wa kukopesha serikali pesa
 
Ila kuna kitu niefurahi sana kwenye hii thread. Tangu hii thread ianze hadi sasa kumekuwepo na improvement kubwa sana ya hawa jirani zetu kwenye kuongea na kuandika kiswahili fasaha. Mwanzo walikuwa wanaandika kiswahili kibovu kweli kweli lakini kadri muda ulivyokwenda naona kabisa kwamba sasa hivi kiswahili chao kimeanza kunyooka. Kweli Jamii forums ni shule tosha si lazima uingie darasani. Kwa jirani anayebisha hili aangalie post zake za nyuma kabisa alinganishe na post za sasa ambazo aliandika kwa kiswahili. Hata ile rate ya kutumia kiingereza imepungua sana baada ya kupata shule ya kiswahili fasaha humu ndani ya JF. Hongerni sana majirani tuikuze lugha yetu ya kiswahili afrika mashariki na kwingineko.
 
Lakini ripoti ya kuwatoa LDC hadi mido inkamu si ya kipumbavu sio?😹

Anyways, hiyo idadi ni ya wale maskini wa kutupwa. Hohehahe. Sasa tafakari wangejumuisha maskini wote hali ingekuwa vipi? Huo uongozi wa mabavu hautawasaidia. Africa kumetokea JPM wengi. Kina Mobutu na J. B Bokasa na juhudi zao zipo Wazi.

Kubalini yaishe, mjitahidi mjikwapue kutoka ufukara msije kusingizia kuonewa kila saa takwimu yasipowafurahisha.
Wakiwa LDC World Bank ilikuwa inatumia 1$ kupima umaskini lkni sasa cheo imepanda World Bank inatumia 1.9$ kupima umaskini wameshutuka Sana
Kuwa middle income ni gharama 😁
 
Mm hushangaa Sana nchi Kama Tanzania iko na kla kitu madini, amani udongo wenye rotuba lkni bado ni maskini mbna
Kumbe ni ujinga na upambavu wa wananchi
 
Mm hushangaa Sana nchi Kama Tanzania iko na kla kitu madini, amani udongo wenye rotuba lkni bado ni maskini mbna
Kumbe ni ujinga na upambavu wa wananchi
na mbona imeingia middle income within 4 yrs hio je umejiuliza 😂😂😂 mbona unemplyment rate yake iko chini east africa, mbona haina njaa, mbona debt to GDP ratio yake ni ndogo east africa, etc au niendelee
 
Wakiwa LDC World Bank ilikuwa inatumia 1$ kupima umaskini lkni sasa cheo imepanda World Bank inatumia 1.9$ kupima umaskini wameshutuka Sana
Kuwa middle income ni gharama 😁
mbona imeingia sasa ww umeshtuka kuingia kwa tanzania for just 4 yrs of magufuli ww huoni ni ajabu
 
Mm hushangaa Sana nchi Kama Tanzania iko na kla kitu madini, amani udongo wenye rotuba lkni bado ni maskini mbna
Kumbe ni ujinga na upambavu wa wananchi

endelea kushangaa,badala ujiulize uhakisia wa uchumi mkubwa wa kenya na maisha ya wakenya kama vinaenda sambamba.

yaani mna uchumi mkubwa idadi ndogo,ila mnasota na umasikini mbaya mpaka mnatisha.
 
Wakiwa LDC World Bank ilikuwa inatumia 1$ kupima umaskini lkni sasa cheo imepanda World Bank inatumia 1.9$ kupima umaskini wameshutuka Sana
Kuwa middle income ni gharama

kwahiyo unataka kusemaje???

kwamba WB imeamua kupandisha baada ya tz kuingia middle income????
 
JamiiForums679651582.jpg
 
Kuliko nchi ya wajinga na vichaa.Yaani mlinyimwa ubongo
Sasa ww punguwani jiulize ...kama tumetumia 1% tuna supply electricity nchi nzima, maji , hakuna njaa , tuna bus stations more beutiful than many airport in Africa, we about to lunch electric trains, we have phase 1 of BRT and phase 2 U/c....tumepunguza umaskini najiuliza nyie fukara mtakuwa mnatumia less than quater of 1 %
 
Mm hushangaa Sana nchi Kama Tanzania iko na kla kitu madini, amani udongo wenye rotuba lkni bado ni maskini mbna
Kumbe ni ujinga na upambavu wa wananchi
Wacha excuse za kijinga, ndiyo tuna mali nyingi na ndiyo tunazitumia kuwapiga gepu km hv ss tuna infrastructure ambazo ninyi hamna ila ninyi hamna infrastructure ambazo cc hatuna labda slums
 
Back
Top Bottom