Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wadau izo treni zimeagizwa ndio waanze kutengeneza Au zipo tayari unanunua tu?
 
Wadau izo treni zimeagizwa ndio waanze kutengeneza Au zipo tayari unanunua tu?
Mbona maswali ya kipoyoyo yako mengi? Hizi treni unaweka order kama ndege! Hizi si gari unaenda showroom unanunua labda kama unachukua secondhand kama Kenya juzi huko Spain! Ina maana wewe Bwn tuusan hukusoma maelezo ya Masanja the Citizen?
 
Tanzania gani mmejenga nyinyi masikini?....daraja mbili flyover mbili na tower tatu ndio zinafanyamuone kama tunatoshana kimaendeleo?
Mna mendeleo gani ninyi,nyie ni masikini tu kama nchi nyingine za africa,mji mzima umevimbiwa kwa slum tu kila kona,unaletewa treni za teknolojia ya 1970 leo hii,mandeleo ya kupewa misaada ya chakula hadi state house...nyie masikini tu hamna cha ajabu kilichobaki ni kusifiwa ujinga na wazungu ili waendelee kuwagonga tu kila upande
 
Hahaha nashangaa leo hii mmeathirika na corona ila mlikua humu mkiwika hamna corona. Sasa mmeathirika vipi kwa chanzo msichokijua? Halafu bado mkapeleka bakuli msaidiwe? 😹😹 JF rahaa yaani.
Wewe ni mvivu wa kufikiri
 
Hatuna ulimbukeni kama nyie. Si ni nyinyi mlikimbia kulaki mindege yenu airport? 😹😹😹

Kenya hatuna ulemavu wa kiakili. Sisi vitu huundwa, tunahoji na maisha yanaendelea ki kawaida tu. Nyinyi hadi mnasherekea kuwa na mabilionea wengi kuliko nchi nyingine ni kama pesa za hao mabilionea ni pesa ya kijamii. Ushoshalisti uliwadumaa akili kiukweli.
Hilo sasa ni povu...ndege zenyewe mmekodi sasa hapo ndo msherehekee nini,hamna cha kusherehekea..
 
Hahaha Hatuwezi uliskia wapi? Sisi hatukurupuki. Ni rahisi sana ku upgrade reli yetu to electric standards sababu KUU ni kuwa hii ni Chinese Class 1 standards. Wachina pia waliupgrade zao vivyo hivyo. Au hutaki kuskia hayo? Wivu ni ya nini? Usipandwe na presha Buda, utakufa bureee
Duh yaani ile reli yenu ni chinese class 1??!!!!..aaah wachina sio watu wazuri,sasa kama huo mtungi ni class 1 na ile ya guangzhou tuiite class gani...!!


Shikamoo chung ching lee
 
Back
Top Bottom