Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivyo? Hilo lilishabainika pindi janga lilipo jitokeza. Na usishtuke kuskia uchumi wetu ulikua wakati huu wa corona kwa sababu waKenya si wazembe kama nchi fulani. Mwishowe tunaelekea kuwa double kiuchumi na msipochunga tutawatriple mkiimba nyimbo za kuipiku Kenya 😹😹😹
kama sio wazembe basi ni wajinga munaenda kuingia kwenye commercial loans kisa mzungu anataka ufate matakwa yao alaf leo unashangaa debt to gdp ratio imehara kabisa 😂😂👇👇👇
C1C2AF84-D6D9-4A5C-A8D4-B0331DCFE46C.jpeg
 
maskini ya Mungu refuebrished DMU 😂😂😂😂😂😂😂

eeeeh Mungu tupe umri tuone mengi juu ya dunia hii😁😁😁😁
Nyinyi maskini mkiingiza a clean unit direct from south korea ndio mwaeza kutuponda...hata hiyo sgr yenu hamjakamilisha hadi wa leo.

Mnahitaji miaka mingapi?
 
Nyinyi maskini mkiingiza a clean unit direct from south korea ndio mwaeza kutuponda...hata hiyo sgr yenu hamjakamilisha hadi wa leo.

Mnahitaji miaka mingapi?
sisi hatununui vitu kwa pupa nchi nzima tena developing country bado muna akili ya kununuq vitu refubrished alaf unachekelea mwenyewe 1.1b ksh for 8 units alaf mwenyewe unakenua meno😂😂😂😂😂
 
kama sio wazembe basi ni wajinga munaenda kuingia kwenye commercial loans kisa mzungu anataka ufate matakwa yao alaf leo unashangaa debt to gdp ratio imehara kabisa 😂😂👇👇👇
View attachment 1606292
Usijali madeni sio shida tutalipa...sisi we r banking on the growth of our economy.

Our past record yaonyesha twaeza...nyinyi jaribuni kukopa kama sisi tuone terms ambazo mtapewa🤣
 
sisi hatununui vitu kwa pupa nchi nzima tena developing country bado muna akili ya kununuq vitu refubrished alaf unachekelea mwenyewe 1.1b ksh for 8 units alaf mwenyewe unakenua meno😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣 bora ipige kazi...hizi misifa midogo mnazopenda ndizo zinawafanya muwe poor🤣

How many cars in TZ ni secondhand ??? Si za fanya kazi?
 
hatujaathirika kwa maana corona ipo kwetu hakuna isipokua hata watalii wamepungua na bishara pia zimepungua na sio kwamba corona ipo tanzania hakuna my friend sisi tupo na tunaendelea na maisha kama kawa 😀😀😀 na zile dua zenu sijui zilifkia wapi
Dua zipi? Kutoka kwa nani? Yaani mmebakia kujishukushuku kila wakati sababu Kenya. Ndio maana sisi huwakejeli kila siku sababu ya INFERIORITY COMPLEX yenu.
IMG_20201020_172241.jpg

Tafuta mtafsiri kama huelewi ☝😹😹
 
Halafu unadhihirisha udumavu wa akili kulinganisha SGR na MGR. TOTALLY DIFFERENT things, ila tunawavumilia kwa sababu ya ukosefu wa exposure.

Ya Pili, usiwe na shaka. SGR yetu utakuwa upgraded to electric wakati wake ukifika. Sisi hatukurupuki kufanya vitu eti kisa jirani ametekeleza. Nyie on the other hand hata hamjielewi. Mnabaki kuwa laughing stock wa EAC.

HAHAHAHAH mods saa zingine ni vizuri kuficha aibu kwa Watanzania kwa ku ban wajinga kama hawa.
Hamuwezi kuweka umeme katika reli iliyoishia porini, malizeni deni ya mchina kwanza
 
Dua zipi? Kutoka kwa nani? Yaani mmebakia kujishukushuku kila wakati sababu Kenya. Ndio maana sisi huwakejeli kila siku sababu ya INFERIORITY COMPLEX yenu. View attachment 1606299
Tafuta mtafsiri kama huelewi ☝😹😹
tujishuku vp wakat mliomba dua miezi mitano iliopita mukasema kutakua na mass death in tanzania leo mumesahau lakini cha ajabu dua la kuku halimpati mwewe😂😂😂😂😂😂
 
Sema unangoja kuona "The first Bullet trains brand new in Africa", hatununui vyuma chakavu.
Na ni sawa pia. Mbona mnataka ku force tufanye vitu kwa sababu mnafanya? Kenya hatukurupukwi kama nyinyi. Sisi kama wananchi tunafurahia ujio wa hivyo vyuma "chakavu" kwa sababu mbali na kutupunguzia gharama ya kununua vitu mpya, bado yatafanya kazi iliodhamiriwa.
 
🤣🤣🤣 bora ipige kazi...hizi misifa midogo mnazopenda ndizo zinawafanya muwe poor🤣

How many cars in TZ ni secondhand ??? Si za fanya kazi?
dunia inakwenda mbele sio kurudi nyuma 😂😂😂😂 nendeni na wakat mchina kawatia vidole matakoni na reli mumeisusia maporini
 
Halafu unadhihirisha udumavu wa akili kulinganisha SGR na MGR. TOTALLY DIFFERENT things, ila tunawavumilia kwa sababu ya ukosefu wa exposure.

Ya Pili, usiwe na shaka. SGR yetu utakuwa upgraded to electric wakati wake ukifika. Sisi hatukurupuki kufanya vitu eti kisa jirani ametekeleza. Nyie on the other hand hata hamjielewi. Mnabaki kuwa laughing stock wa EAC.

HAHAHAHAH mods saa zingine ni vizuri kuficha aibu kwa Watanzania kwa ku ban wajinga kama hawa.
Ukweli unauma ahahahaa! Kibera boy sometimes learn to accept the truth coz it will make you free. A low speed (80kph) SGR kama yenu ni sawa na upgraded MGR yetu ambayo speed ni almost the same. Treni na Mabehewa ya hiyo SGR yenu ni sawa kabisa ya MGR yetu tena nadhani baadhi ya mabehewa ya MGR yetu ni mazuri zaidi. Pia SGR train zinazotumia dizeli katika karne hii ni sawa tu na MGR ya karne ya 20. By those facts you should humbly kneel down and accept the bitter truth you idiot!
 
Back
Top Bottom