lakini niliwah kuskia zitaenda mpaka over 200km/hr usishangae zikawa hzo broKTX sidhani hizo ni za speed zaidi ya 300 km/h na reli yetu hairuhusu train hizo!
hapi ni hyundai rotem broHaya hapa makampuni yanatengeneza Locomotive huko South Korea.
Let start there
View attachment 1607071
So kama ni hyundai rotem let constraint kuangalia bidhaa wanazotengeneza.hapi ni hyundai rotem bro
Kuna hii review ya ITX-Saemaeul train. Speed yake huko South Korea ni 165 km/h. Ukilinganisha na design speed yetu ya 160km/h, hii model Ndio realistic zaidi kuletwa. But still, according to the review, the train is good and the amenities are also good therefore, it would be great if the gvt brings such locomotives.
The train was manufactured by Hyundai Rotem
Hii mm nahisi ndio haswa yenyew sabab top speed yake ni 167km per hour...Kuna hii review ya ITX-Saemaeul train. Speed yake huko South Korea ni 165 km/h. Ukilinganisha na design speed yetu ya 160km/h, hii model Ndio realistic zaidi kuletwa. But still, according to the review, the train is good and the amenities are also good therefore, it would be great if the gvt brings such locomotives.
The train was manufactured by Hyundai Rotem
yakwetu inatakiwa iende mpaka 200km/hr according to waziri mbarawaHii mm nahisi ndio haswa yenyew sabab top speed yake ni 167km per hour...
True, amesema sana Kadogosa kuwa maximum ni 200km/hlakini niliwah kuskia zitaenda mpaka over 200km/hr usishangae zikawa hzo bro
zetu sio 8cars unit ??? niliwah kumsikia kadogosa
Lakini unajua TRC waliwa recruit vijana kwenda kuchukua courses za namna ya kuendesha hizo train huko zinapotengenezwa, angalia huyo yupo kama darasani, inawezekana ndio yenyewe.nadhani still ITX maana hapo ni darasani !
na mm nawasiwasi sana ndio hzo KTXLakini unajua TRC waliwa recruit vijana kwenda kuchukua courses za namna ya kuendesha hizo train huko zinapotengenezwa, angalia huyo yupo kama darasani, inawezekana ndio yenyewe.
Kuna hii review ya ITX-Saemaeul train. Speed yake huko South Korea ni 165 km/h. Ukilinganisha na design speed yetu ya 160km/h, hii model Ndio realistic zaidi kuletwa. But still, according to the review, the train is good and the amenities are also good therefore, it would be great if the gvt brings such locomotives.
The train was manufactured by Hyundai Rotem


.KTX haiwezekani mzee si kwa reli hii yetu ila inakaa zina operation system huyu wa kwetu anapata training! ITX is more reasonable!na mm nawasiwasi sana ndio hzo KTX
Kweli, me mwenyewe nilimsikia Makame kipindi kile yupo ujenzi akisisitiza hilo na akasema, kutoka Dodoma kuelekea Mwanza ndio train itaenda kwa speed kubwa zaidi sababu eneo lipo tambarare sana na halina kona kona na milima kama Morogorolakini niliwah kuskia zitaenda mpaka over 200km/hr usishangae zikawa hzo bro
Still poorNgoja wewe na mwezio Teargass niwaonesha kasoro iliyopo ya nadharia ya kuweka nchi zote kwenye kapu moja la umaskini kwa kigezo cha kupata chini ya $1.90 kwa siku.
Kama dhumuni la pesa ni kununua, swali la kujiuliza ni je, hiyo $1.90 inaweza kununua nini?
kama kuna nchi 'A' ambayo $0.99 inanunua milo miwili ya siku na nchi 'B' $3 haiwezi hata kununua mlo mmoja, utamuitaje mtu wa nchi 'A' masikini wakati anaweza kupata chakula kwa $0.99? Utatumiaje kigezo cha $1.90 kuelezea umaskini wa nchi zote mbili? Je, hamuoni kuwa yule wa nchi 'B' asiyeweza kula kwa $3 ndiyo masikini kwasababu inabidi apate msaada wa chakula?