Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_1603110325.955904.jpg


IMG_1603110345.914298.jpg
 
Huyo ndivyo alivyo huwa anavamia majukwaa ya watu na kuwaharibia hoja zao, mfano hapo chini amevamia thread yetu ya manchester utd na kutukana watu mule mpk pale jamaa alipomuambia km anataka kazi aache matusi ndipo akapunguza matusi kwa sharti la kupatiwa kazi
emoji116.png
emoji116.png
View attachment 1604195View attachment 1604196View attachment 1604197View attachment 1604198
Nani alikuambia nina shida ya kazi wewe mbumbumbu? Kumbe huwa unanifuatilia sana sikujua aise..

Sasa kuanzia leo usifanye tena hivyo.
 
We fala kwa hiyo exit road inapaswa kuwa hivyo kwa vile si part of highway?
Kwn hyo barabara ina matatizo gani, hyo ni asphalt jomba kazi yake ni kuingiza na kutoa magari hapo thika highway..

Lete za kwenu basi
 
Even if the price is higher than yours of which is not, you should remember this is not gari moshi and it has modern infrastructures apart from electricity itself
Electric trains are not modern as such. The came into existence even before diesel.

Name the superior infrastructure we see
 
Kwn hyo barabara ina matatizo gani, hyo ni asphalt jomba kazi yake ni kuingiza na kutoa magari hapo thika highway..

Lete za kwenu basi
hvi ww huwezi kubali changamoto au?? mbona kila kitu unataka kubishana au ndio mazoea tena 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom