komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Km hamtaki semeni na sisi tuanze kusamehewaShenanigan wa mombasani katika ubora wake![]()
Km hamtaki semeni na sisi tuanze kusamehewaShenanigan wa mombasani katika ubora wake![]()
Shenaningan basi unajua maana yakeDah yaani wewe Dada shenanigan ni hatari, hizi akili huwa unazilokota wapi maeneo hayo ya mombasani?![]()


Hahahaha ninyi si mnajilinganisha na Japan, haya Em nisomee hapa kwa sauti 😀😀Km hamtaki semeni na sisi tuanze kusamehewa
Hawajielewi. COMMERCIAL LOANS hakuna grace periods na interest rates ni wazimu. Hawa wajinga wamecheka SGR yetu miaka minne sasa lakini chao ki motoni.Wanakopa commercial loan kujenga sgr
Duhh watanzania watatuonyesha maneno
😀😀😀 ninyi hamumdai hata mlevi sarafu mbovu, mnajilinganisha na world's largest creditor 😀😀Kwa hivyo unakubali Japan wawe na debt "unfathomably large" lakini Kenya tukipandisha deni mnalia ehn? 😹😹
JF rahaa, walahi this time round silipiii subscription ya Netflix HAHAHA
Wamejenga sgr tangu 2016 hata phase one tuko 2020 hatuoniTunabishana na watu ambao ujenzi imewashinda😂😂
😀😀😀 Sijui maana ya shenaningan, najua tu shenanigan wa mombasani 😅😅Shenaningan basi unajua maana yake
Hku ndio kunaitwa kukurupuka
Mmmmh sign wameweka July 2017, mobilization na camps setup completed 2018 so ujenzi umeanza at the end of first quarter in 2018Wamejenga sgr tangu 2016 hata phase one tuko 2020 hatuoni
Mwenyewe hujielewi. Ni kukurupuka tu kama kawaida. ULEMAVU wa kiakili.. Tena hadharani. Ushahamisha goli sasa hivi unaongelea largest creditor. HAHAHA😀😀😀 ninyi hamumdai hata mlevi sarafu mbovu, mnajilinganisha na world's largest creditor 😀😀
👇👇👇👇👇
Japan remained the world's largest creditor at the end of 2019, with the net balance of external assets held by its government, companies and individual investors hitting a record ¥364.53 trillion ($3.40 trillion), the Finance Ministry said Tuesday.
You borrowed from commercial banks, Japan borrowing from the state Bank 😀😀😀Mwenyewe hujielewi. Ni kukurupuka tu kama kawaida. ULEMAVU wa kiakili.. Tena hadharani. Ushahamisha goli sasa hivi unaongelea largest creditor. HAHAHA
Lengo la kuitaja JAPAN kwenye mjadala ni jinsi deni lao mostly ni INTERNAL BORROWING which enables it's government to carry out its activities and even be able to become among the largest creditors.
Vivyo hivyo, Kenya karibu nusu ya deni INAMILIKIWA NA BENKI za Kenya (Internal Borrowing) and that's why we can still be able to go for more loans from other creditors.
Punguza ujinga, fanya research kuhusu INTERNAL BORROWING, mataga! 😹😹
Tanzania hakuna indigenous bank inaweza kopesha serikali watafile for bankruptcy haraka sanaIn fact na ujinga wao hawajui nusu ya deni letu inamilikiwa na benki za Kenya. Internal borrowing is far much better than external na ndio maana JAPAN debt to GDP ratio yao ni karibia asilimia 200.
Wanashangaa profits za benki zetu huishia wapi. Wao hata mabenki haziwezi kopesha GoT 😹😹
Lanes bana! LANES.
Ati battle.. WHAT BATTLE? HAHAHAHA
Darasa lako hapa chini 👇jielemishe upunguze UJINGAYou borrowed from commercial banks, Japan borrowing from the state Bank 😀😀😀
Na kila kuchao wako hapa kucheka deni la Kenya na hawajitambui wala kujielewa. HAHAHATanzania hakuna indigenous bank inaweza kopesha serikali watafile for bankruptcy haraka sana
Kwa hivyo maskini wengi wapo nchi gani? KE au TZ. Ukinipa jibu sahihi sichangii huu uzi tena.
Huyo mkulima karibu apige air tz mnadaHuyo mkulima atazirudia tena🤣
Ni bora waziweke parking tu😂
Lakini ripoti ya kuwatoa LDC hadi mido inkamu si ya kipumbavu sio?😹Kati ya ripoti za kipumbavu ni hii,wamechukua idadi ya watu wamegawanya kwa mbili.wakati ki uhalisia sio kweli.
Najua JPM ana weza washukia na wakanywea kama alivyonywea balozi wa USA.
Nawashangaa sana.. Mizigo karibia 80% inayopakuliwa Dar hubakia huko huko Dar slum. Sasa hii SGR ya kukurupuka sababu Kenya imejenga nangoja kuona losses zake "mwakani". That is kama GoT hawataficha ripoti zao.
Anyway, we wish them all the best.
aliekudanganya nani 😂😂😂👇👇👇. soma hapa kenge weweMwenyewe hujielewi. Ni kukurupuka tu kama kawaida. ULEMAVU wa kiakili.. Tena hadharani. Ushahamisha goli sasa hivi unaongelea largest creditor. HAHAHA
Lengo la kuitaja JAPAN kwenye mjadala ni jinsi deni lao mostly ni INTERNAL BORROWING which enables it's government to carry out its activities and even be able to become among the largest creditors.
Vivyo hivyo, Kenya karibu nusu ya deni INAMILIKIWA NA BENKI za Kenya (Internal Borrowing) and that's why we can still be able to go for more loans from other creditors.
Punguza ujinga, fanya research kuhusu INTERNAL BORROWING, mataga! 😹😹
Wacha nikupe darasa kidogo;Japan's debt is unfathomably large. According to the Bank of Japan (BoJ) the main state creditor, at the end of 2019 it stood at 1,328,000,000,000,000 yen.
🤔