Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,124
Yani nyumba zipo zipo tu walai, mtaanza lini kupima viwanja muachane na huo mfumo wa kujenga ovyo jamani...
Emu leta ya chato tuioneheheh wazee wa GDP [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 1558968
Hehehe!!vipi tena mkenya, mbna unatema povu kw mtzHuyu jamaa ChoiceVariable ni bwana shamba feki kutoka kunya, anahusika na madawa ya kilimo kutoka kunya na uwakala wa kununua na kusafirisha mazao kupeleka kunya. Lazima atoe milio sana hapa maana kwa ground ashaona mambo yamemkalia vibaya. Anapatikana huko nyanda za juu kusini.
Mkenya mbna sikuelewi[emoji23][emoji23]Hahaha wewe unasumbua hili jukwaa? Hebu amka kwenye hiyo ndoto wewe nyang`au.. hakuna anaetambua uwepo wako hapa.. ni kelele zako tu hapa the way you clapping and we ain`t seeing your hand... that`s what people see it here.. nothing else.
Lkn kw kutuwaza mpo vizuri[emoji23][emoji23]Tuwapite kwa madeni, njaa na rushwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hahaha!!umewafanya hata sisimizi wankucheka..Mko juu yetu kwa Kila Jambo!!? Nataka utaje mambo matano tu, ambayo mko juu yetu,sitaki mengi!
Hehehe!!hamna uwezo huo wa kushila hzo routeNoma sana, I Like Ethiopian, hawana kelele wala ulimbukeni.
Naona choice hata hamna hamu naye kabisa, kweli ukweli mchungu jamani[emoji23][emoji23]
Umeona kesi ya kuujumu uchumi hapohehe wanakwambia kwao hawaminyi demokrasia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi huko Chato una boyfriend!? mbona unapataja kila Mara?Emu leta ya chato tuione
Uhuru wa kujieleza 0%[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeona kesi ya kuujumu uchumi hapo