Hii lazima ni Kenya tu, Tanzania hatuwezi kufanya ujinga kama huu
exactly naskia ni camp ya Balala! haiwezi kuwa ya light weight!Hii lazima ni Kenya tu, Tanzania hatuwezi kufanya ujinga kama huu
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hapa ndipo huwa naona uzembe wa viongozi wa tm zetu za mpira, hv tm km yanga kweli inashindwa kumiliki kauwanja ka mazoezi km haka? Kweli jamani? Wanaenda kufanya mazoezi kwenye uwanja wenye nyasi zilipauka kiasi kwamba mchezaji akidondoka tu kaumia.
Hv mzee Kaunda hajafika 100?
Ni aibu tupuHii lazima ni Kenya tu, Tanzania hatuwezi kufanya ujinga kama huu
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Daah,KK ni wa zamani sana..sijui km anakosaHv mzee Kaunda hajafika 100?
exactly naskia ni camp ya Balala! haiwezi kuwa ya light weight!
Sijaelewa vizuri hapo hii ndio itakuwa muendelezo wa ilee ya dodoma au
ndio muendelezo ila wanaanzia mwanza kwenda isaka alaf zitakutana kati na hio itakayotoka singida kwenda tabora then isakaSijaelewa vizuri hapo hii ndio itakuwa muendelezo wa ilee ya dodoma au
Makutupora-Tabora-Isaka imekuwa lot moja yaani Tabora line (294 km) +Tabora – Isaka (130 km) ! kwa hiyo kutakuwa na giant lot ya 424 km remaining!ndio muendelezo ila wanaanzia mwanza kwenda isaka alaf zitakutana kati na hio itakayotoka singida kwenda tabora then isaka